Hata kama siyo mtaalamu wa teknolojia, naamini unatumia simu na unazijua laini za simu (SIM card), SIM card kwa lugha nyingine zinaitwa laini za simu, hizi ni kadi ndogo ambazo huwekwa kwenye simu ili kusaidia kuunganishwa na mtoa huduma ili kupata mawasiliano, watoa huduma kama Airtel, Vodacom, Tigo, Halotel n.k, bila laini ya simu/SIM card huwezi kupata mawasiliano kwenye simu yako.
eSIM ni huduma ya kidigitali ya laini ya simu/SIM card ambayo inakuwezesha kuunganishwa na mtoa huduma ili kupata huduma za mawasiliano bila kuhitaji kuweka laini/SIM card kwenye simu husika, hauhitaji kununua laini ya simu badala yake utaifungua eSIM kwenye simu yako na kuisajili ili upate huduma ya mawasiliano.
Kampuni ya mawasiliano ya Airtel Tanzania imekuwa kampuni ya kwanza kuzindua huduma hii nchini Tanzania, ni jambo zuri sana, lakini si kila simu inauwezo wa kutuia huduma ya eSIM. kuna simu zenye huo ewezo na zingine hazina huo uwezo.
SIMU ZINAZOWEZA KUTUMIA HUDUMA YA eSIM.
Simu za iPhone zenye huduma ya eSIM.
•iPhone 14 Pro Max
•iPhone 14 Pro
•iPhone 14
•iPhone 13
•iPhone 13 Pro
•iPhone 13 Pro Max
•iPhone 13 Mini
•iPhone 12
•iPhone 12 Mini
•iPhone 12 Pro
•iPhone 12 Pro Max
iPhone 11
•iPhone 11 Pro
•iPhone 11 Pro Max
•iPhone XS
•iPhone XS Max
•iPhone XR
•iPhone SE (2020)
•iPhone SE (2022)
Lakini kwa simu zote ambazo ni matoleo ya China (Chinese Mainland versions) hazina huduma ya eSIM, kwa matoleo ya Hong Kong na Macao isipokuwa iPhone 13 mini, iPhone 12 mini, iPhone SE 2020, na iPhone XS zingine hazina huduma ya eSIM.
Simu za Samsung zenye huduma za eSIM.
•Samsung Galaxy S22 Ultra 5G
•Samsung Galaxy S22+ 5G
•Samsung Galaxy S22 5G
•Samsung Galaxy S21 Ultra 5G
•Samsung Galaxy S21 5G
•Samsung Galaxy S21+ 5G
•Samsung Galaxy S20
•Samsung Galaxy S20+
•Samsung Galaxy Note 20+
•Samsung Galaxy Note 20
•Samsung Galaxy Note 20 Ultra
•Samsung Galaxy Fold
•Samsung Galaxy Z Flip
•Samsung Galaxy Z Flip 3 5G
•Samsung Galaxy Z Fold 2
Matoleo ya Samsung S20/S21 FE simu hizi hazina huduma ya eSIM.
Simu za Google Pixel zenye huduma ya eSIM.
•Google Pixel 3 & 3 XL
•Google Pixel 3a & 3a XL
•Google Pixel 4, 4a & 4 XL
•Google Pixel 5
•Google Pixel 6
•Google Pixel 6 Pro
• Google Pixel 7
• Google Pixel 7 Pro
Simu za Pixel 3 zilizotengenezwa Australia, Taiwan, and Japan pamoja na Pixel 3 zilizonunuliwa Marekani au Canada na zinatumia huduma ya mtandao (network carrier) kama verizon n.k tofauti na Sprint na Google Fi hazina huduma ya eSIM.
Simu za Oppo zenye huduma ya eSIM.
Oppo Find X3 Pro
Oppo Find X5
Oppo Find X5 Pro
Oppo Reno 6Pro
Oppo Flip N2
Oppo Reno 5A
Lakini pia kuna simu zingine kama Xiaomi 12T Pro, Honor Magic 4 Pro, Sony Xperia 5 IV, Motorola Razr 5G. Nokia G60, Nokia X30 na zingine.
NAMNA YA KUJUA KAMA SIMU YAKO INA UWEZO WA eSIM.
No Comment! Be the first one.