Hata kama si mpenzi wa soka, ni lazima utakuwa umewahi kusikia majina ya vilabu vikubwa barani Ulaya kama vile Bayern Munich na Wolfsburg Germany. Hivi ni vilabu vikubwa vinavyoshiriki ligi kuu ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga
Habari hii si kuhusu vilabu wala uchambuzi wa kisoka, lakini ni kuhusu jinsi unavyoweza kuitazama.
Katika pitapita zangu nimekutana na hii app, inaitwa Tenbre inatolewa na Startimes BURE. Unaweza kujiuliza, kuna uhusiano gani kati ya hii Tenbre na Bundesliga?
Ukiwa na app hii ya Tenbre unaweza kutazama Bundesliga kwenye simu yako mahali popote wakati wowote. Huu ndio uhusiano uliopo.
Kama mdau wa teknolojia na mpenzi wa mpira wa miguu niliona sio na wewe ufahamu njia hii rahisi ya kuweza kutazama Bundesliga mahali popote ulipo. Unaweza kuDOWNLOAD app hii kupitia hapa -> http://bit.ly/1iZxj3W bila gharama zozote. Tazama bundesliga BURE.
Je wewe unafahamu app gani nyingine nzuri kwa ajili ya kufuatilia michezo kama mpira? Tungependa kusikia kutoka kwako.
No Comment! Be the first one.