Mwanaanga Neil Armstrong, ambaye mwaka 1969 alifanikisha kutua kifaa cha kwanza chenye wanadamu mwezini amefariki. Amefariki akiwa na umri wa miaka 82, jana Jumamosi, huko nchini Marekani.
Kama kamanda wa kifaa cha anga cha Apollo 11 alikuwa mtu wa kwanza kushuka na kukanyaga ardhi ya mwenzi, Bwana Armstrong atakumbukwa siku zote kwa mchango wake katika mapinduzi ya uchunguzi wa masuala ya anga.
Timu ya Apolo 11 ikipokelewa |
Mwaka Jana Akiwa Jijini Washington |
Akiwekwa Vifaa Sawa Kabla ya Safari ya Mwezini! |
No Comment! Be the first one.