Simu janja za Google Pixel 6 bila ya uwezo wa kufungua kwa uso
Simu janja nyingi ambazo zinatengenzwa katika mika ya karibuni wanaziongezea...
YouTube TV ya kwenye iOS 15 yafanyiwa maboresho
Kuna kitu kinaitwa YouTube TV ambapo wengi wetu tunaweza tusiwe tunakifahamu...
Chaji ya simu janja inayojaza umeme kwa robo saa tu
Kwnye dunia ya leo makampuni mengi ambayo yapo kwenye ushindani yanapambana...
Zaidi ya miaka 11 sasa bila Instagram kwenye iPad
Instagram ni maarufu duniani kote na ina zaidi ya miaka 11 tangu iletwe kwa...
Muundo mpya wa muonekano wa tabiti kwenye Windows 11
Windows 11 ni programu endeshi ambayo inawika sehemu nyingi duniani na...
Mpango wa kukambilana na akaunti za uwongo kwenye mitandao ya kijamii
Uwepo akaunti za uwongo kwenye mitandao ya kijamii ni suala ambalo linakera na...
Linkedin waanzisha mtandao wao wa vipindi vilivyo katika mfumo wa sauti
Vipindi ambavyo vipo katika mfumo wa sauti na kurushwa mubashara mtandaoni...
Facebook Reels yatanua wigo kupambana na TikTok
Mtindo wa watu kutengeneza video fupi fupi kwenye mitandao ya kijamii ni...
Chagua picha kirahisi ndani ya kitufe cha kamera kwenye WhatsApp #iOS
Imekuwa ni rahisi watu kutumiana picha ndani ya kitufe cha kamera kwa njia ya...
Uwezekano wa kujiondoa kwenye mazungumzo kwenye Twitter
Kama ambavyo ilivyo mitandao ya kijamii mingi tuu kwamba unaweza kumtaja mtu...
Marekani: Uwezo wa kupiga namba ya dharura 911 kupitia Skype
Skype imedumu kwenye ulingo wa biashara kwa miaka mingi na bado wanaendelea...
Muundo wa jumbe za sauti kwenye WhatsApp waboreshwa
Mfumo wa kutumia jumbe za sauti kueleza kitu fulani na ta kuwasambazia wengine...
Uwezekano wa kumwonyesha mtu mahali ulipo kwenye Snapchat
Snapchat ni moja ya mitandao ya kijamii ambao wengi waitumia Snapchat asilimia...
Wasogeze karibu mpaka watu sita unaowasiliana nao kwenye Twitter
Twitter ina watumiaji wengi tuu ambao kwao ni mtandao wa kijamii muhimu sana...
Xiaomi wanafanya majariibo ya teknolojia ya kuchaji haraka-150W
Makampuni mengi yamekuwa kazini wakiboresha muda ambao simu janja inatumia...
Kipengele cha “News Feed” kwenye Facebook chabadilishwa na kuwa “Feed”
Kila leo watu wanachapisha habari ndani ya mtandao wa kijamii wenye watumiaji...
HMD wazindua simu janja Nokia G21
Kwa miaka kadhaa sasa simu janja za Nokia zimekuwa kwenye ulingo wa ushindani...
Miaka 4 zaidi ya masasisho ya kwenye Galaxy Watch 4 na zitakazofuatia
Uvaaji wa saa janja umekuwa ukikua mwaka hadi mwaka na makampuni mbalimbali...
Uwezekano wa kutengeneza kijiji ndani ya WhatsApp
WhatsApp ina watumiaji wengi zaidi duniani zaidi ya programu tumishi yoyote kwa...
Watumiaji wa huduma ya Google One ndani ya iOS wapelekewa VPN
Kukatazwa kutembelea tovuti fulani kwenye kifaa cha kidijitali inafanya watu...