Shirika la kijasusi la Marekani (CIA) limejiunga Twitter wikiendi hii!
Twiti yao ya kwanza ikisema ‘Hatuwezi kuthibitisha au kukataa ya kwamba hii ni twiti yetu ya kwanza’! Twiti hiyo hadi sasa ishasambazwa (retweets) zaidi ya mara laki mbili ishirini.
We can neither confirm nor deny that this is our first tweet.
— CIA (@CIA) June 6, 2014
Akaunti yao ishapata zaidi ya Followers 420,000…NDIYO, Followers zaidi ya laki 4 ndani ya masaa 24!
Sasa cha kuwa makini tuu mtu asije akatwit visivyotakiwa kutwitiwa! 🙂
No Comment! Be the first one.