Jana mtandao wa Facebook ulipata itirafu na watu kutoweza kuingia kwenye akaunti zao, maarafu kwa kizungu kama ‘outage’. Je wewe uliathirika kipesa?Jibu litakuwa hapana, Facebook ndio waliopata hasara kwani kwa muda huo wa takribani dakika 30 walipoteza pato la takribani dola laki 5 za kimarekani, ambayo ni takribani Tsh 841,750,000/= za kibongo. ETIIIIIIIII?
Msemaji wa Facebook, Jay Nancarrow amesema mtandao huo ulipata tatizo wakati wanafanya maboresho fulani katika programu zao. Na wamehaidi hii hali haitatokea tena… (Unaamini?)
Kwa sasa Facebook ina watumiaji zaidi ya bilioni 1.3
No Comment! Be the first one.