Fomu ya maombi ya undeshaji wa vifaa vya elektroniki visivyokuwa na rubani yaani drones ni hii. Ni habari njema ya kwamba fomu hii haijawekwa kwa ugumu sana na ni ya kurasa chache.
Hii ni kwa TCAA, hatuweza fahamu taratibu za kibali kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama itakuwaje.