Mwaka unaisha, na mengi yametokea yaliyowafanya watu wengi kutafuta kufahamu zaidi kuhusu mambo/masuala hayo kupitia mtandao wa utafutaji wa Google.
Je unafahamu wewe binafsi umetafuta kuhusu mambo mangapi kipindi cha wiki moja kilichopita? Unaweza usikumbuke au kufahamu, ila Google tayari imetoa data kuhusu vitu vilivyotafutwa zaidi kwenye mtandao huo mkubwa zaidi duniani kwenye utafutaji.
Fahamu mambo/vitu vilivyotafutwa zaidi Google kwa mwaka 2014;
- Robin Williams
- World Cup
- Ebola
- Malaysia Airlines
- ALS Ice Bucket Challenge
- Flappy Bird
- Conchita Wurst
- ISIS
- Frozen
- Sochi Olympics
Ukibofya kwenye maandishi hayo utaweza kusoma zaidi kuhusu tukio husika kupitia mtandao wa WikiPedia.
Ifuatayo ni orodha ya watu ambao habari zao zilitafutwa zaidi Google, namba moja ya Jennifer Lawrence inasemekana imechangiwa sana na uibwaji wa picha zake binafsi kutoka iCloud zilizosambazwa mitandaoni miezi michache iliyopita.
Katika filamu hizi ndizo filamu 10 ambazo watu walitafuta zaidi habari zinazozihusu.
Hivi ndio vifaa 10 vya kumi vya elektroniki ikiwa ni pamoja na simu ambazo watu wametafuta habari zaidi, na kumbuka mwaka huu ni mara ya kwanza kwa zaidi ya miaka 4 simu ya iPhone kutoingia katika kumi bora tuliyoiangalia hapo mwanzo ila bado wanashika nafasi ya kwanza katika kundi la vifaa vya elektroniki.
Je ni mechi gani za Mashindano ya Kombe la Dunia ‘World Cup’ ambazo watu waligoogle zaidi kuzihusu? ni hizi hapa;
Na hizi ndizo timu za mpira ambazo watu walitafuta zaidi habari kuzihusu
No Comment! Be the first one.