Tumeshaandika makala kadhaa kuhusu roboti wa kisasa kutoka kampuni ya Boston Dynamics, angalau makala hizi.
- Baada ya Kutumia Mabilioni, Jeshi la Marekani Lasita Utumiaji wa Roboti katika Ubebaji wa Mizigo
- Roboti Mbwa aanza kupatikana, ukimuhitaji andaa bei ya gari jipya
Mwaka huu tafiti na harakati zilizozaa kampuni hii zimefikisha miaka 40. Angalau Video hii kutoka kwenye akaunti yetu ya YouTube kuweza kuifahamu zaidi.
No Comment! Be the first one.