Simu za Honor zipo toleo tofauti tofauti ambazo tayari zipo sokoni na kuendelea kuleta ushindani. Hata hivyo, Honor Magic 2 ilizinduliwa bila ya wengi kutegemea.
Wakati wa tamasha la IFA lililofanyika jiji la Berlin-Ujerumani Afisa Mkuu Mtendaji wa Huawei alikuwa akizindua Huawei Play lakini ghafla akawashangaza watu kwa kutoa Honor Magic 2 mfukoni mwake. Sifa za simu hiyo ni kama ifuatavyo:-
Kipengele |
Honor Magic 2 |
Kioo | Kioo kina urefu wa inchi 6.39 huku teknolojia ya kwenye kioo ni AMOLED |
Muonekamo | Ina vitu ambavyo vimejificha hivyo basi inahitajika kuwa mjanja kidogo kuweza kuviona |
Kipuri mama | HiSilicon Kirin 980 ndio iliyowekwa kwenye simu husika |

Kipengele |
Honor Magic 2 |
Kamera | Nyuma: Kamera tatu-mbili zina MP 16 na ile kuu ina MP 24.
Mbele: Ina kamera tatu; moja ina MP 16 na mbili zina MP 2 kila moja Itakubidi ubonyeze kidogo kwa kwenda chini ili kuweza kuziona/kutumia kamera za mbele. |
RAM/Diski uhifadhi |
|
Betri |
|

Kipengele |
Honor Magic 2 |
Bei |
$489|Tsh. 1,124,700 (6/128GB), $589|Tsh. 1,354,700 (8/128GB) na $689|Tsh. 1,584,700 (8/256GB) |
Rangi |
Nyeusi, Bluu mpauko na Zambarau |
Mengineyo |
|