Tecno Spark 10 ni simu mpya kutoka Tecno Mobile inayokuja na kamera ya selfie iliyoshiba kwa megapixels za kutosha.
Tecno Spark 10 Pro inakuja na kamera ya selfie inayong’aa ya 32 MP ambayo inakuwezesha kuongeza mwanga unaonaswa na kila pixel, hivyo kuwezesha upigaji picha angavu zaidi, hata kwenye mwanga hafifu. Sasa unaweza kunasa uzuri zaidi na Kamera ya nyuma ya 50 MP inayowezesha upigaji picha za hali ya juu.
Tecno Spark 10 mpya inakuja katika rangi mbili Starry Black na Pearl White na ina muundo rahisi wa mraba. Kwa mara ya kwanza, SPARK ilianzisha muundo wa paneli ya nyuma ya kioo, ikichukua kioo cha kipekee ya nyota. Inang’aa, na inastarehesha ukiishika mkononi.
Mambo muhimu:
- Ukubwa inchi 6.45
- Uwezo wa laini mbili
- Kamera Kuu ya MP 50, wakati selfie ikiwa ya MP 32
- GB 256 ya diski uhifadhi – RAM GB 16
- Betri 5000mAh 18W fast charger
Toleo la Spark 10 Pro linakuja na hifadhi ya ndani (ROM) ya GB 256 inayoweza kuhifadhi kumbukumbu na muziki zaidi na RAM ya 16GB ambayo inahakikisha matumizi ya simu bila matatizo. App zako zitafanya kazi haraka na rahisi hata wakati app nyingi zingine ziko wazi.
Simu ina betri ya 5000 mAH yenye nguvu ya kutosha kudumu kwa saa nyingi kukuwezesha kupiga simu na kucheza games. Unapata muda wa kusubiri (standby time) wa siku 41, muda wa kupiga simu wa saa 43.1 na saa 10 za kucheza games. Chaji ya haraka hukuwezesha kuchaji betri yako hadi ikajaa katika muda wa dakika 130.
Pata maelezo zaidi kuhusu Tecno Spark 10 mpya https://bit.ly/41zWVtX au tazama video ya unboxing
#Tecno #Spark10 #ToboanaTecno #ToboanaSpark10
Kwa maelezo zaidi au msaada unaweza wapata Tecno Hotline 0678-035208 au WhatsApp 0744-545254
No Comment! Be the first one.