Kwa kiswahili unaweza kuita ni wiki ya ubunifu/ugunduzi, kimombo inatambulika kama ‘Innovation Week’ na ni kongamano lililoanza leo na litakamilika tarehe 28 mwezi huu.
Kongamano hili linaandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la HDIF na litahusu mijadala kwenye maeneo ya teknolojia, maendeleo na ubunifu/ugunduzi wa kusaidia maeneo mbalimbali ya kijamii.
Kupata taarifa zaidi kuhusu kongamano hilo bofya hapa – [PDF]
Kufahamu zaidi kuhusu HDIF -TZ bofya kutembelea mtandao wao – http://hdif-tz.org/en/about-hdif/index
No Comment! Be the first one.