Meta Yakubali Kulipa Dola Bilioni 18 Kwa Kesi ya Watoto: Mabadiliko Makubwa Kuja Kwenye Facebook na Instagram
Dondoo Muhimu Meta imekubali kulipa hadi dola bilioni 18 kumaliza kesi...
Meta Mahakamani Marekani Kwa Kesi Ya Watoto. Faini Yaweza Kufikia Dola Trilioni 1.4
Dondoo Muhimu Majimbo 29 ya Marekani yameishtaki Meta, yakidai Facebook na...
Meta Yaomba Radhi Serikali ya India Baada ya Facebook na Instagram Kulaumiwa Kwa Maudhui Haramu.
Dondoo Muhimu Mark Zuckerberg ameripotiwa kuiomba radhi serikali ya India...
Instagram kufanya mtu alipie ili kutumia huduma ya akili unde ya hali ya juu
Huduma ya akili unde: Maudhui ambayo yametengenezwa na akili mnemba na kwa...
Instagram mawindoni kufunga baadhi ya akaunti
Instagram mawindoni: Katika miaka ya karibuni, Instagram imekuwa ikijaribu kwa...
Meta yaanzisha mtindo mpya wa kutoa nembo ya akaunti iliyothibishwa
Meta: Kuwa na nembo ya akaunti iliyothibishwa imekuwa kitu cha muhimu kwa wenye...
Instagram Yaanza Kukutoza Ukitumia AI: Vipengele Vipya Vitakuwa vya Kulipia.
Dondoo Muhimu za Makala Hii Instagram imethibitisha kuwa baadhi ya vipengele...
EU Yaipa Meta Onyo: Instagram na Facebook Zibadilishe Vipengele Vinavyowafanya Watumiaji Washindwe Kuacha Kutumia App Hizo.
Dondoo Muhimu EU imeiambia Meta kubadili baadhi ya vipengele vya Instagram na...
Namna 5 Ambazo Mtandao wa Kijamii wa Facebook Umetawala Ulimwengu Kwa Zaidi ya Miaka 20.
Ni zaidi ya miaka 20 tangu Facebook izinduliwe mwaka 2004, bado ni moja ya...
Meta Sasa Inaruhusu AI Kutumia Picha Zako za Instagram Kutengeneza Maudhui, Usipoikataza.
Dondoo Muhimu Meta imezindua modeli mpya ya AI iitwayo Muse Image. Picha kutoka...
Meta Yapanga Kuzindua Programu ya Kubet Matukio, Kushindana Polymarket na Kalshi.
Dondoo Muhimu Meta inaripotiwa kutengeneza programu mpya ya kutabiri matukio...
Uingereza Yapiga Marufuku Mitandao ya Kijamii kwa Watoto Chini ya Miaka 16: Je, Nasi Tunaelekea Huko?
Dondoo Muhimu Za Makala Hii Uingereza imepiga marufuku matumizi ya mitandao ya...
Hackers Watumia Meta AI na Kupata Access ya Akaunti za Instagram za Watu. Nini Ufanye? Meta Wanasemaje?
Dondoo Muhimu Za Makala Hii Hackers waliripotiwa kutumia Meta AI support bot...
Malaysia Yapiga Marufuku Watoto Chini Ya Miaka 16 Kutumia Mitandao Ya Kijamii, Vipi Sisi Tutaweza?
Dondoo Muhimu Za Makala Hii Malaysia imeanza kuzuia watoto chini ya miaka 16...
Instagram Yatikisa Dunia ya Social Media Tena: Hizi Ndizo Updates 6 Kubwa Zinazobadilisha Jinsi Tunavyotumia App Hiyo 2026.
Instagram unayoijua leo si ile ya jana. Na mabadiliko yanakuja kwa kasi kubwa...
Meta Haifi — Inabadilika: Ukweli Kuhusu Facebook, AI na Vita Mpya ya Internet 2026-
Dondoo Muhimu Meta ilipoteza watumiaji milioni 20 kwa mara ya kwanza mwaka 2026...
Meta Yatishia Kufunga Facebook na Instagram Nigeria Baada ya Serikali Kuitoza Faini Kubwa
Meta, kampuni mama ya Facebook na Instagram, imeonya kuwa inaweza kusitisha...
FTC Dhidi ya Meta: Hatma ya Instagram na WhatsApp Hatarini
FTC Dhidi ya Meta: Tume ya Biashara ya Shirikisho la Marekani (FTC) imefungua...
WhatsApp Inapanga Kuleta Uwezo wa Kuongeza Link ya Instagram Kwenye Profile kwa Watumiaji wa iOS Kwanza
WhatsApp inatarajia kuongeza kipengele kipya ambacho kitawawezesha watumiaji wa...
Baada ya TikTok, CapCut Kupigwa Stop Marekani, Instagram Yazindua “Edits”: App Mpya ya Kuhariri Video
Katika wakati ambapo dunia inashuhudia marufuku kali dhidi ya TikTok na CapCut...