WhatsApp Yaimarisha Usalama; Imebadilisha uthibitishaji wa hatua mbili (2FA), Sasa utapokea Nenosiri Badala ya PIN ya namba 6.
WhatsApp imeongeza safu mpya za usalama zinazolenga kufanya iwe vigumu zaidi...
Apple Yaja na Chatbot Yake Apple Intelligence, Yaanza Kuijaribu China Kwa Msaada wa Alibaba na Baidu.
Dondoo Muhimu Apple Intelligence imepata kibali cha udhibiti China na itatumia...
Android na IOS: Kushabiana, Tofauti na uwepo wa mifumo mingine (Sehemu ya pili)
Android na IOS: Katika Sehemu ya kwanza, tumeona ufanano uliopo kati ya mifumo...
Android na iOS: Kushabiana, Tofauti na uwepo wa mifumo mingine (Sehemu ya kwanza)
Mifumo mingine: Maneno haya mawili, Android na iOS yamekuwa maarufu sana katika...
Apple Inatengeneza “Auto Lock” Mfumo Mpya wa Iphone Unaoweza Kufunga Iphone Moja Kwa Moja Pale Inapogundua Dalili Za Wizi.
Dondoo Muhimu Apple inaripotiwa kuendeleza mfumo mpya wa usalama unaogundua...
WhatsApp Inapanga Kuleta Uwezo wa Kuongeza Link ya Instagram Kwenye Profile kwa Watumiaji wa iOS Kwanza
WhatsApp inatarajia kuongeza kipengele kipya ambacho kitawawezesha watumiaji wa...
Vitu Vitano Vinayoifanya Android 15 Bora Kuliko iOS 18
Android 15 na iOS 18 zote ni mifumo ya kisasa yenye maboresho mengi, lakini...
Maana ya i katika iPhone na iOS, fahamu historia.
Je ushawahi kujiuliza maana ya i katika iPhone na iOS? Kwa nini Apple wanatumia...
Magemu: Fahamu Gemu la #Flow, Gemu Bora la Kuchangamsha Akili
Je, unatafuta mchezo mzuri wa kuchangamsha akili na kukuza ubunifu wako?...
Programu 5 Bora za Bure za AI(Akili Mnemba). Unaweza Kuzitumia Kuboresha Maisha na Kazi Zako.
Katika ulimwengu wa sasa, teknolojia ya Artificial Intelligence (AI), Akili...
HarmonyOS Ya Huawei Pengine Kuipita Kabisa iOS Ya Apple Huko China, 2024!
HarmonyOS ni programu endeshi maarufu kabisa ya Huawei ambao ni magwiji kabisa...
Sasa Unaweza Kubaini Miziki Youtube, TikTok Na Instagram Kupitia Shazam Kwa iOS!
Shazam ndio mtandao namba moja ambao unasaidia watu kutambua majina na taarifa...
App 10 Bora za Bure za Kuhariri Picha kwa Simu za Android na iOS – 2023
Je niwe na app gani kuhariri picha kwa simu kwa urahisi zaidi? Ikiwa unataka...
Spotify Kupitia HealthKit Ya Apple Inakuja Na Orodha Miziki (Playlist) Ya Mazoezi!
Spotify inajihusisha moja kwa moja na App ya HealthKit ambayo inapatikana...
Uwezo Wa Picture-In-Picture Katika Simu Za Video Za WhatsApp! #iOS
WhatsApp ni moja kati ya mitandao ya kijamii mikubwa sana na yenye watumiaji...
Swiftkey Haitaondolewa Tena Katika iOS! #Microsoft
Swiftkey ni moja kati ya keyboard za mbadala ambazo unaweza kuzipata katika...
Microsoft Kuandaa Stoo Yake Ya Magemu Ya Simu Kwa Ajili Ya iOS Na Android! #XBox
Store hiyo mpya ya Microsoft iitakua ni mahususi kwa magemu ya kwenye simu na...
Kupitia iOS 16, Utaweza Kuona Nenosiri (Password) Ya WiFi Katika iPhone Yako!
iOS 16 iko mbioni kuachiwa rasmi japokuwa kwa sasa kuna toleo la majaribio...