Kivinjari cha Comet AI – Kivinjari janja kinachokuja na Msaidizi wako wa AI (Akili Unde)
Kivinjari cha Comet AI ni kivinjari cha kisasa ambacho kinachanganya teknolojia...
Google Yamuomba Trump Kubatili Agizo la Kuuza Chrome.
Katika hatua isiyo ya kawaida, Google imewaomba maafisa wa serikali ya Marekani...
Kivinjari Cha Samsung (Samsung Internet) Chaanza Kupatikana Katika Windows 10 Na 11!
Ni wazi kwamba mpaka sasa kuna vivinjari vingi sana na makampuni mengi ya...
ANDROID: Sasa Incognito Ya Chrome Kuwa Na Pass-code!
Google bado wanaendelea kujiimarisha sana katika swala zima la ulinzi na...
Namna ya kutumia Intaneti bila kuhifadhi historia / taarifa – Incognito Window
Kuna namna ya kutumia intaneti bila kuhifadhi historia / taarifa, hii ina faida...
Sahau uwezekano wa kutosoma jumbe kwenye WhatsApp Web
Mawasiliano yangu ya WhatsApp yamekuwa ni rahisi sana kwangu kutokana na uwezo...
Internet Explorer Kutolewa Kabisa Katika Windows 10!
Kivinjari cha internet explorer ndio cha kwanza kwa umaarufu katika vivinjari...
Kivinjari Cha Safari Kutoka Apple Na Watumiaji Zaidi Ya Bilioni Moja!
Kivinjari cha Safari ni maarufu sana katika vifaa kutoka Apple, kwa sasa kina...
Uwezekano wa kuonyesha kuwa umependezwa na kitu kwenye WhatsApp Desktop
WhatsApp Desktop imekuwa mkombozi wa watu wengi ambao kutokana na sababu...
Sikiliza jumbe za sauti huku ukifanya vitu vingine kwenye WhatsApp ya kompyuta
Katika miezi ya karibuni WhatsApp ya kompyuta imekuwa ikiboreshwa na kuweza...
Uwezo wa kushusha ripoti kwenye WhatsApp Desktop
Moja ya njia rahisi siku hizi kutumia WhatsApp kiraisi hasa kwa sisi ambao kazi...
WhatsApp Web Beta (toleo la majaribio) lawezeshwa kuweza kuficha jumbe za watu
Matumizi ya WhatsApp hasa kwa wale ambao tunatumia kompyuta katika maisha yetu...
Google yailipa Apple mabilioni ya dola kwa ajili ya kuonekana kwenye Safari
Kwa miaka kadhaa sasa Google imekuwa ikimlipa Apple mabilioni ya dola kwa...
WhatsApp Web yawezeshwa kipengele cha uhariri wa picha
Watumiaji wa WhatsApp Web ni wengi tuu duniani kote wanaongezeka kila siku...
Kivinjari: Opera Mini yaenda kwenye toleo jipya la Chromebook
Kompyuta za Chromebook zinatengenezwa na Google na kimsingi hazivumi sana kiasi...
Jinsi ya kurudisha kwa haraka kurasa ulizofunga kwenye kivinjari
Katika hali ya kawaida kabisa inaweza kutokea wakati unaperuzi mtandaoni...
Fanya Kivinjari Cha EDGE Kufuta Taarifa NYETI Za Kimtandao Pale Unapokifunga!
Ni wazi kwamba kuna taarifa zingine za kimtandao ni siri, lakini licha ya hili...
Chrome kupunguza utumiaji wa RAM kwa Windows 10, Android na vifaa vingine
Google wamesema kivinjari chao cha Chrome kupunguza utumiaji wa RAM kwa kiasi...
WhatsApp ya giza kwenye Chrome, Safari, FireFox
Kama kuna kipengele ambacho katika miezi ya karibuni kimepata umaarufu wa aina...
Google kukuambia kama password yako imedukuliwa! #Extensions
Je utafahamu vipi kama password yako imedukuliwa? Inaweza ikawa ni kwenye...