Teknolojia ya eSIM Ikoje? Kwa Nini Si Maarufu na Je Baada ya iPhone 17 Kutoka Itaongeza Umaarufu Wake?
Leo, kila mtu anazungumzia kuhusu urahisi wa kutumia simu, lakini je umesikia...
Serikali inachukua shilingi ngapi kwenye kila muamala wa simu?
Nchini Tanzania hivi sasa wananchi wanakatwa tozo kwenye miamala ya simu ambapo...
Njia rahisi ya kupata PUK ya kadi yako ya simu
Huduma ya kuweka namna za siri kwenye kadi zetu za simu limekuwepo kwa miongo...
Matumizi ya nenosiri kufungua kadi ya simu #Tanzania #MitandaoYaSimu
Tangu Julai Mosi ya mwaka huu nchini Tanzania matumizi ya nenosiri kwenye kadi...
Vifurushi vya intaneti kurudishwa kama ilivyokuwa mwanzo!
Hivi leo ukimuuliza Mtanzania anayetumia simu ya mkononi kitu ambacho...
TCRA Yatakiwa Kumaliza Madai Juu Ya Ulanguzi Wa (Vifurushi) Bando Za Simu Na Internet! #Tanzania
Ni wazi kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusiana na bando za simu....
Matumizi ya kidijitali kuepukana na virusi vya Corona
Virusi vya Corona vimekuwa tishio kwenye mataifa mengi duniani ikiwemo Tanzania...
Usajili wa kadi za simu kwa njia ya alama za Vidole mwisho ni Disemba 31 mwaka huu
Wakati watanzania wakiwa wanaendelea kukumbushwa kuhusu kwenda kusajili upya...
Halotel Tanzania kuwekeza zaidi
Katika biashara kuna njia nyingi za kujidhatiti lakini kitu kimoja ambacho...
Mpango wa kusajili laini za simu kwa alama za vidole wazinduliwa
Mfumo wa majaribio ya kusajili laini za simu kwa kutumia alama za vidole...
Tigo sasa ni Tanzania na Chad tuu kwa Afrika, Tigo Ghana waungana na Airtel
Kampuni mama inayomiliki mtandao unaoenda kwa jina la Tigo, limeshauza bishara...
Airtel yakanusha madai ya kuondoka Kenya
Kampuni ya Mawasiliano ya Simu ya Airtel imekanusha madai kwamba inaondoka...
Safaricom yapigwa faini ya mamilioni kwa sababu ya huduma mbovu
Safaricom yapigwa faini. Kampuni ya mawasiliano ya simu Safaricom nchini Kenya,...
Mtandao gani wa simu ni nafuu zaidi? Upi unakua kwa kasi? – Data za TCRA
Ripoti ya robo ya pili ya mwaka huu iliyotolewa na TCRA inatoa picha nzuri juu...
TCRA yapiga marufuku matangazo kwenye miito ya simu
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imepiga marufuku matangazo ya biashara...
Vodacom kuuza hisa; Zijue faida za kununua hisa za makampuni.
Kampuni ya Vodacom imeingia katika vichwa vya habari hivi karibuni hapa nchini...
Jinsi ya ku-unlock modem na kuweza kutumia sim card yoyote
Kutokana na ukuaji wa kasi wa matumizi ya intaneti kumepelekea makapuni ya simu...
Vita ya 4G LTE ; TiGo na Vodacom wapigana vikumbo
Wakati kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom ikiingia katika ulingo wa...
Soma Taarifa Kwa Umma Kutoka TCRA Juu ya Faini Kwa Makampuni ya Simu
TAARIFA KWA UMMA HATUA ZA KISHERIA NA KIUDHIBITI KWA MAKAMPUNI YA SIMU...
Makampuni Ya Simu NIGERIA Yapigwa Faini Kutokana Na Kutoa Huduma Mbovu!
Makumpuni ya simu nchini Nigeria yaonjwa faini ya aina yake. Makampuni hayo...