Makampuni Ya Simu Katika Soko la China #Huawei, #Vivo, #Xiaomi, #Oppo Na #Honor Kuja Na Program Endeshi (OS) Yao!
Ni wazi kwamba china ni moja kati ya soko kubwa kabisa katika maswala mazima ya...
Simu Janja Ya Oppo Find N3 Hii Hapa!
Oppo wametangaza ujio wa simu zao mpya za matoleo ya Oppo Find N ambapo toleo...
Oppo Yatawala Mauzo Ya Simu Za Fold Huko China!
Kuna makampuni mengi ya simu ambayo yanafanya vizuri katika soko la nchini...
Oppo Wazidi Kuwashangaza Watu Ujerumani, Je Wameachana Na Soko Hilo?!
Pengine soko la Oppo katika nchi ya ujerumani ndio limefikia tamati kabisa,...
Uuzaji Wa Simu Janja Umeshuka Sana, Samsung Bado Anashikilia Usukani!
Utengenezaji na Uuzaji wa simu janja ni moja kati ya soko kubwa sana na mara...
Oppo Na OnePlus Wakanusha Kuondoka Katika Soko La Ulaya!
Oppo na OnePlus ni makampuni nguli kabisa katika teknolojia ya kutengeneza na...
Samsung Galaxy Z Flip 5 Iko Njiani, Muonekano Wa Nje Umevuja!
Ni wazi kwamba kwenye soko la simu janja za kukunja na kukunjua Kampuni ya...
Simu Janja Ya Oppo Find N2 Hii Hapa!
Oppo ni kampuni kubwa sana ambayo inajihusisha na teknolojia nyingi ikiwemo...
Simu Ya Kwanza Ya Oppo Ya Kujipindua (Flip) Inategemewa Kuja Hivi Karibuni!
Oppo ni chapa kubwa sana ya kutengeneza na kuuza simu, ni moja kati ya...
Oppo Watch 3 kutoka mwezi Agosti mwaka huu
Kwenye suala zima la ushindani wa biashara ya saa janja makampuni mengi...
Chaji ya simu janja inayojaza umeme kwa robo saa tu
Kwnye dunia ya leo makampuni mengi ambayo yapo kwenye ushindani yanapambana...
Uchina: Honor yashika nafasi ya pili kimauzo kwenye robo ya nne ya mwaka 2021
Mauzo ya simu janja nchini Uchina katika robo ya nne ya mwaka 2021 yameshuka...
Oppo kujiingiza kwenye biashara ya tabiti siku si nyingi
Makampuni mengi tuu ambayo yanajishughulisha na biashara ya bidhaa za kidjiti...
Huawei na mchoro wa simu janja ya kamera ya mbele iliyojificha
Katika mipango ambayo Huawei ipo nayo kwa sasa ni kutoa simu janja yenye kamera...
Tuuelewe Vizuri Muunganiko Wa Oppo Na OnePlus!
CEO wa OnePlus bwana Pete Lau alisema kuwa OnePlus na Oppo kwa pamoja...
Oppo watoa spika za masikioni-Enco Free2 zinazodumu na chaji kwa saa 30
Hivi karibuni Oppo wamezindua simu janja za familia moja-Reno6 5G na nyinginezo...
Simu janja nyingi za kukunja na kukunjua kuja mwaka huu majira ya joto
Unaweza kufikiria kuwa makampuni yameweka kando kuhusu simu janja ambzo...
Kunani kwenye Oppo K9 5G?
Oppo ni moja ya kampuni ambazo simu zake zinafika sana soko la Afrika na kwa...
Samsung kutengenezea vioo vya kujikunja/kukunjuka kwa ajili ya wengine
Teknolojia inayohusisha simu za kujikunja inaonekana kurudi kwa kasi shuhuda...