Taifa Israel Limewezaje Kuwa Moja ya Ngome Kubwa Zaidi za Cybersecurity Duniani?
Dondoo Muhimu Israel ni moja ya mataifa yanayoongoza duniani katika...
Apple Wameichangamsha Siri Sasa; Wameipa Masasisho Yaliyosubiriwa Muda Mrefu, Je Mwanzo Mpya wa Safari ya AI kwa Apple?
Dondoo Muhimu Za Makala Hii Apple imezindua Siri mpya kabisa katika WWDC 2026...
Marekani Kusimamisha Mpango wa Dola Bilioni 3 wa Internet Mashuleni? Serikali Yahoji Kama Watoto Wanajifunza Au Wanapoteza Muda Mtandaoni
Dondoo Muhimu Marekani inaanza kupitia upya mpango wake wa internet mashuleni...
Google Yazindua Dreambeans: AI Inayoweza Kusimulia Historia Ya Maisha Yako Kupitia Katuni.
Dondoo Muhimu Za Makala Hii Google imezindua Dreambeans, moja ya majaribio yake...
Malaysia Yapiga Marufuku Watoto Chini Ya Miaka 16 Kutumia Mitandao Ya Kijamii, Vipi Sisi Tutaweza?
Dondoo Muhimu Za Makala Hii Malaysia imeanza kuzuia watoto chini ya miaka 16...
China Yazuia Mpango Wa Meta Ya Mark Zuckerberg Kununua Manus AI; Yaongeza Masharti Ya Uwekezaji Nje.
Dondoo Muhimu Za Makala Hii China imeongeza masharti mapya ya uwekezaji wa nje...
Mahasimu Wa Muda Mrefu Meta na X Wamekubaliana Dili la Mabilioni Kwenye AI. Je, AI Itazima Ugomvi Kati Yao au Itaongeza Vita Vipya?
Dondoo Muhimu Meta na kampuni zinazohusishwa na X zinaanza kuhamia kwenye awamu...
Kuna Vitu Wakuabwa wa AI Kama Sam Altman Hawapendi Kabisa Watu Wajue Kuhusu AI.
Dondoo Muhimu Za Makala Hii AI inaendelea kuuzwa kama teknolojia...
China Mdogo Mdogo Ikaimbiza Marekani Kwenye Vita vya Chipu za AI. Huawei Wanasema Wamepata Njia Bora Zaidi Yenye Ufanisi Kwenye Uundaji wa Chipu.
Dondoo Muhimu za Makala Hii Huawei sasa wanasema wamepata njia mpya ya...
AI Inazidi Kuwafukuzisha Watu Kazi: Je, Dunia Inaingia Kwenye Enzi Ambapo Kazi za Binadamu Hazitahitajika Tena?
Dondoo Muhimu Za Makala Hii Meta imefukuza maelfu ya wafanyakazi huku...
Apple Inatengeneza “Auto Lock” Mfumo Mpya wa Iphone Unaoweza Kufunga Iphone Moja Kwa Moja Pale Inapogundua Dalili Za Wizi.
Dondoo Muhimu Apple inaripotiwa kuendeleza mfumo mpya wa usalama unaogundua...
Pope Leo Aonya Dunia Kuhusu AI: “Binadamu Anaweza Kuwa Mtumwa wa Teknolojia Yake Mwenyewe”
Dondoo Muhimu Za Kwenye Makala Hii. Pope Leo ameonya dunia kuhusu kasi ya...
Palantir: Kampuni Hatari Zaidi ya AI Duniani Ambayo Jeshi la Marekani Ilitumia Kushambulia Iran
Kumbuka kwa msomaji: Makala hii inazungumzia vita, vifo vya raia, na matumizi...
Instagram Yatikisa Dunia ya Social Media Tena: Hizi Ndizo Updates 6 Kubwa Zinazobadilisha Jinsi Tunavyotumia App Hiyo 2026.
Instagram unayoijua leo si ile ya jana. Na mabadiliko yanakuja kwa kasi kubwa...
Je, AI Inasababisha Ukichaa na Uraibu? Sayansi Inasema Nini na Nani Awajibike?
Kwa msomaji: Makala hii inagusa mada ya afya ya akili na hali ngumu za...
Afrika Ina Watumiaji Milioni 646 Wa Internet — Je, Wewe Unafaidika Vipi Na Fursa Hii Kubwa?
Dondoo za Muhimu Kwenye Makala Hii Afrika ina watumiaji milioni 646 wa internet...
Gharama ya Vita vya Kiteknolojia (Tech War) kati ya Marekani & Israel dhidi ya Iran.
Moja ya mambo yanayoshangaza wataalamu wa kijeshi ni tofauti kubwa ya gharama...
Tim Cook Ang’atuka Ukurugenzi: Enzi Mpya Inaanza Apple!
Kampuni ya Apple imetangaza rasmi kuwa Tim Cook atajiuzulu nafasi yake kama CEO...
Mauzo ya Headphones za Waya yapanda: Je watu wanaziacha za bluetooth na kurudi kwenye Analog?
Mauzo ya Headphones za Waya yameonesha ukuaji tena. Katika muongo mmoja...
AI Yamfufua Val Kilmer: Mapinduzi ya Kidijitali Kwenye Filamu Mpya ya ‘As Deep as the Grave’
AI Yamfufua Val Kilmer. Takribani mwaka mmoja tangu kifo cha mwigizaji nguli wa...