Huawei ina program endeshi (OS) ambayo sio Android na imeendaliwa rasmi katika kuhakikisha kuwa inatumika katika vifaa vya Huawei na inajulikana kama HarmonyOS.
Huawei wameweka wazi kwamba toleo la HarmonyOS 4.00.108 litakua linaruhusu baadhi ya simu za Huawei kutumia toleo hilo.
Orodha Nzima Ni Hii Hapa
- Huawei P60
- Huawei P60 Pro
- Huawei P60 Art
- Huawei Mate X3
- Huawei Mate X3 Collector’s Edition
- Huawei Mate 50
- Huawei Mate 50 Pro
- Huawei Mate 50 RS Porsche Design
- Huawei Mate 50E
- Huawei Pocket S
- Huawei P50
- Huawei P50 Pro
- Huawei P50 Pro Collection
- Huawei P50E
- Huawei P50 Pocket
- Huawei P50 Pocket Art Edition
- Huawei Mate 40
- Huawei Mate 40 Pro
- Huawei Mate 40 Pro 4G
- Huawei Mate 40 Pro+
- Huawei Mate 40 RS Porsche Design
- Huawei Mate 40 RS Porsche Design Collection
- Huawei Mate 40E Pro
- Huawei Mate X2
- Huawei Mate X2 4G
- Huawei Mate X2 Collection
- Huawei Mate Xs 2
- Huawei Mate Xs 2 Collection
- Huawei Nova 11
- Huawei Nova 11 Pro
- Huawei Nova 11 Ultra
- Huawei MatePad Pro 11-inch performance version
- Huawei MatePad Pro 12.6-inch 2022
- Huawei MatePad Pro 12.6-inch 2021
Uzuri wa toleo hili la HarmonyOS ni kwamba litakua na utofauti mkubwa sana haswa ukilinganisha na toleo la nyuma maana hili hata kimuonekano ni tofauti.
Ningependa kusikia kutoka kwako, niandikie hapo chini katika uwanja wa maoni, je unatumia simu katika orodha na je unaweza kutumia HarmonyOS?
Kumbuka Kutembelea Mtandao Wako Wa TeknoKona Kila Siku, Kwani Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!.
Nifuate Kwenye Mitandao Yangu Ya Kijamii
Instagram | Facebook | Twitter | LinkedIn
No Comment! Be the first one.