Je Wewe Ni Mmiliki Na Mtumiaji Wa Simu Janja Za Blackberry, Na Unatamni Kupata Apps Nyingi Kama Mtumiaji wa Simu Janja Za Android Anavyopata .Basi Usiwe Na Shaka Fuata Hatua Hizi Chache Ili uweze Kuweka Na Kuwezesha Soko La Apps La Google Play Store Kwenye Blackberry Yako Sasa.
Simu Janja Za Blackberry Ni Simu Janja Zinazo Endeshwa Kwa Mfumo Wa Uendeshaji Wa Blackberry Os .Mfumo Uendeshaji Huo Unakuja Na Soko La App Liitwalo Blackberry World App .Blackbery world app linaonekana kuwa bado halitoshelezi mahitaji ya apps kwa mtumiaji wa simu janja hii ni kwa sababu ya kutokuwa na apps nyingi kulinganishwa na masoko mengine ya app kama apple store la mfumo wa ios naGoogle play store la mfumo wa android.
kupitia makala hii nitakuelekeza hatua muhimu za kufata ili kuweka google play store yako kwenye blackbery yako
Hutua ya 1.
Wezesha ufumo wa akaunti ya google kwenye simu yako fanya hivyo kwa kupakua app inayoitwa google account manager kwenye kifaa chako Pakua hapa
Hatua ya 2.
Sajili kifaa chako/simu yako kwenye soko la google play store . fanya hivyo kwa app inayoitwa cobalt.blackberry.googleID. wezesha app hiyo halafu sajili kifaaa chako pakua hapa
Hatua ya 3.
Pakua na wezesha google play store soko ya apps la android. soko hilo la google play kwa ajili ya blackberry pakua hapa
MUHIMU: google play itafanya kazi kwa blackberry zinazotumia blackberry os 10.3 na kuendelea
No Comment! Be the first one.