Kampuni ya RIM {Research In Motion} watengenezaji wa simu za BlackBerrys ipo katika wakati mgumu. Hii ni kutokana na kuingiza faida ndogo zaidi iliyovunja rekodi ya miaka 9 nyuma! Hii ni kutokana na kuporomoka kwa mauzo ya simu za BlackBerrys hali inayochangiwa na kupanda kwa chati kwa simu za Apple [IPhones] na zile zitumiazo Android kama Samsung, HTC na Motorola.
Mauzo ya simu za Blackberry yanaporomoka kila muda unavyozidi kwenda!
PlayBook |
Soko La Dunia Kwqa Simu za Kisasa(Smartphones), kutokana na system simu inayotumia,kwa kutumia data za mauzo ya 2011 duniani kote( Canalys) | |||
Operating System | Shipments 2011 (millions) |
Market share 2011 | Annual growth |
Android | 237.7 | 48.8% | 244% |
iOS | 93.1 | 19.1% | 96% |
Symbian | 80.1 | 16.4% | -29.1% |
BlackBerry | 51.4 | 10.5% | 5.0% |
Bada | 13.2 | 2.7% | 183.1% |
Windows Phone | 6.8 | 1.4% | -43.3% |
Nyingenezo | 5.4 | 1.1% | 14.4% |
Jumla | 487.7 | 100% | 62.7% |
Source: Canalys (Feb 2011) | via: mobiThinking |
Hali Ya Kumiliki Soko Mwisho wa Mwaka 2009 Kwa Sasa Zaidi ya 50% Ni Google Android wakati Apple ni zaidi ya 20% |
Baadhi Ya Simu za BlackBerry 10 Zinazotegemewa Kuingizwa Sokoni Mwaka Huu |
VYANZO;
http://www.pcworld.com/article/247202/rim_selling_playbook_tablets_for_300_each.html
http://www.thestar.com/business/article/1131695–rim-s-blackberry-loses-more-market-share-iphone-android-soar
http://mobithinking.com/mobile-marketing-tools/latest-mobile-stats
http://www.nytimes.com/2012/03/30/business/rims-ex-chief-leaves-board-amid-new-losses.html
Unajua kwann soko linashuka, kwa sababu wana kifurushi cha data cha kipekee ivyo mtu kuona kama ni garama mara mbili
TomaaMireni Kweli kabisa, kwa kiasi flani ili pia limechangia