Robot mwenye uwezo wa kuweza kumsababishia mtu maumivu au kutomsababishia mtu maumivu aundwa.
Imeelezwa kuwa roboti huyo ana uwezo wa kutoboa kidole cha mtu lakini ametengenezwa (programmed) kutofanya jambo hilo kila wakati inapowezekana. Bw. Reben ameipa jina la utani robot huyo kama “The First Law“.

>Mapendekezo ya kuzimwa kwa “The First Law”
Roboti aliyetengenezwa na Bw. Reben anafanya alazimike kumfanya roboti huyo asifanye kazi tena kutokana na uwezo wake wa kuweza kumjeruhi mtu kama roboti ambaye aliwahi kutengenezwa na wanasayansi kutoka kitengo cha “Google artificial intelligence” na hivyo kufanya umuhimu wa watu kama “DeepMind” na chuo kikuu cha Oxford kuonekana mapema sana kuliko ilivyotarajiwa.

Inavutia kuona kwamba roboti huyo ana uwezo kudhuuru ingawa si kwa makusudi ila ni kwa sababu ya kutengenezwa kwa namna fulani kuwa na uwezo wa kuleta madhara lakini suala la msingi ni kwamba robots wameundwa kwa ajili ya kufanya kazi ambazo zinatia shaka kwa wengine. Ilimgharimu mmiliki wake dola 200 za Kimarekani|Tsh. 560,000 kumtengeneza na hana mpango wa kumuweka roboti huyo kwenye maonyesho au kumuuza.
Mkono wa roboti una ncha kali ambayo ni sawa na mkono unaokuwa kwenye mashine ambao unaweza kutoa damu. Madhumuni ya roboti huyo ni kuigiza vitu ambavyo mtu anaweza kufanya, kucheza nae lakini pia wanaweza kuleta madhara/kumuumiza mtu.