Je umeshashusha toleo jipya la Instagram?
- Wameleta uwezo wa wewe kuweza kubadilisha maneno/maelezo ya picha uliyotuma. Kawaida ilikuwa kama ukikosea maelezo ya picha husika ilikuwa inakubidi uifute na kuiweka upya.
- Pia utaweza kupata mapendekezo ya watu wa kuwafualitia (kuwa-Follow) kwa uraisi zaidi.
Unaweza kushusha toleo hilo kwa kubofya -> iOS (iPhone & iPad) | Android |
No Comment! Be the first one.