Kipengele hiki kutokea instagram wengi walikua wanakisubiria kwa hamu sana, lakini hapo hapo kumbuka katika mtandao wa TikTok kipengele hiki kipo muda mrefu tuu.
Reels za instagram mara ya kwanza ulikuwa huwezi kuzishusha zikaingia kabisa katika kifaa na mtuamiji kuamua kuzisambaza kule anapotaka.
Kwa mfano kwa TikTok unaweza shusha video hizo, zikiwa zimeshuka huwa zinakua na jina la mtandao husika na jina la mwenyewe video hiyo (ndani ya hiyo video).
Kwa kupitia katika mtandao wa Instagram wataweza kushusha Reels hizo baada ya kugusa eneo la kusambaza (share) na kisha kuchagua kushusha (Download)
Kingine ni kwamba, Reels zote zinaweza kushushwa katika akaunti za kijamii na vile vile akaunti hizo zina uwezo wa kuzuia Reels hizo kushushwa na watu.
Na kwa instagram ni hivyo hivyo Reels hizo zilizoshushwa zitaonyesha chapa (logo) ya Instagram na pia jina la akaunti ambayo imeandaa Reels hiyo.
Habari hii imewekwa wazi na mmoja wa wakuu wa Instagram, Bwana Adam Mosseri na kipengele hiki kitaanza kupatikana kwa kila mtu, kama bado jitahidi uwe unatumia tolea jipya zaidi la Instagram.
Kumbuka kipengele cha Reels kimekua ni sehemu kubwa ya kuleta mapato katika kampuni ya Meta, na kwao ni kipengele cha muhimu sana.
Niambie wewe hili unalionaje? Je na wewe utakua ni mmoja wao wa wale ambao wataanza kukitumia kipengele hiki mara kwa mara, niandikie hapo chini katika uwanja wa comment?
Kipengele hiki kutokea instagram wengi walikua wanakisubiria kwa hamu sana, lakini hapo hapo kumbuka katika mtandao wa TikTok kipengele hiki kipo muda mrefu tuu.
Reel za instagram mara ya kwanza ulikuwa huwezi kuzishusha zikaingia kabisa katika kifaa na mtuamiji kuamua kuzisambaza kule anapotaka.
Kwa mfano kwa TikTok unaweza shusha video hizo, zikiwa zimeshuka huwa zinakua na jina la mtandao husika na jina la mwenyewe video hiyo (ndani ya hiyo video).
Kwa kupitia katika mtandao wa Instagram wataweza kushusha Reels hizo baada ya kugusa eneo la kusambaza (share) na kisha kuchagua kushusha (Download)
Kingine ni kwamba, Reels zote zinaweza kushushwa katika akaunti za kijamii na vile vile akaunti hizo zina uwezo wa kuzuia Reels hizo kushushwa na watu.
Na kwa instagram ni hivyo hivyo Reels hizo zilizoshushwa zitaonyesha chapa (logo) ya Instagram na pia jina la akaunti ambayo imeandaa Reels hiyo.
Habari hii imewekwa wazi na mmoja wa wakuu wa Instagram, Bwana Adam Mosseri na kipengele hiki kitaanza kupatikana kwa kila mtu, kama bado jitahidi uwe unatumia tolea jipya zaidi la Instagram.
Kumbuka kipengele cha Reels kimekua ni sehemu kubwa ya kuleta mapato katika kampuni ya Meta, na kwao ni kipengele cha muhimu sana.
Niambie wewe hili unalionaje? Je na wewe utakua ni mmoja wao wa wale ambao wataanza kukitumia kipengele hiki mara kwa mara, niandikie hapo chini katika uwanja wa comment?
Kumbuka Kutembelea Mtandao Wako Wa TeknoKona Kila Siku, Kwani Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!.
Nifuate Kwenye Mitandao Yangu Ya Kijamii
Instagram | Facebook | Twitter | LinkedIn
No Comment! Be the first one.