Mwaka unakaribia kuisha sio? Mitandao mingi ambayo ina taarifa mbalimbali huwa ina tabia ya kuweka wazi nani anaongoza katika orodha zao sio? Spotify waja na orodha ambazo zimeongozwa na watu mbalimbali
Vipengele hivi vimegawanywa katiak makundi matatu kwa haraka haraka ambayo ni Nyimbo, Wasanii, album na hata ‘podcast’ zilizofanya vizuri zaidi kwa mwaka husika.
Hii hapa ni orodha nzima ya wale walioibuka vinaraka katika mtandao wa Spotify kwa mwaka 2022.
Msanii Ambae Amekua’Steamed Zaidi Duniani
- Bad Bunny
- Taylor Swift
- Drake
- The Weeknd
- BTS

Msanii Ambae Amekua’Steamed Zaidi Marekeni
- Drake
- Taylor Swift
- Bad Bunny
- Kanye West
- The Weeknd
Albamu Ambazo Zimekua’Steamed Zaidi Duniani
- Un Verano Sin Ti kutoka kwa msaani Bad Bunny
- Harry’s House kutoka kwa msaani Harry Styles
- SOUR kutoka kwa msaani Olivia Rodrigo
- = kutoka kwa msaani Ed Sheeran
- Planet Her kutoka kwa msaani Doja Cat

Albamu Ambazo Zimekua’Steamed Zaidi Marekani
- Un Verano Sin Ti kutoka kwa msaani Bad Bunny
- Harry’s House kutoka kwa msaani Harry Styles
- Dangerous: The Double Album kutoka kwa msaani Morgan Wallen
- Midnights kutoka kwa msaani Taylor Swift
- SOUR kutoka kwa msaani Olivia Rodrigo
Nyimbo Ambazo Zimekua’Steamed Zaidi Duniani
- “As It Was” kutoka kwa msaani Harry Styles
- “Heat Waves” kutoka kwa msaani Glass Animals
- “STAY (with Justin Bieber)” kutoka kwa msaani The Kid LAROI
- “Me Porto Bonito” kutoka kwa msaani Bad Bunny feat. Chencho Corleon
- “Tití Me Preguntó” kutoka kwa msaani Bad Bunny

Nyimbo Ambazo Zimekua’Steamed Zaidi Marekani
- “As It Was” kutoka kwa msaani Harry Styles
- “Heat Waves” kutoka kwa msaani Glass Animals
- “Bad Habit” kutoka kwa msaani Steve Lacy
- “Me Porto Bonito” kutoka kwa msaani Bad Bunny feat. Chencho Corleon
- “First Class” kutoka kwa msaani Jack Harlow
Podcasts Maarufu Zaidi Duniani
- The Joe Rogan Experience
- Call Her Daddy
- Anything Goes with Emma Chamberlain
- Case 63 (All Languages)
- Crime Junkie

Podcasts Maarufu Zaidi Marekani
- The Joe Rogan Experience
- Call Her Daddy
- Crime Junkie
- The Daily
- Armchair Expert with Dax Shepard
Wasanii Ambao Wameteka Mtandao Duniani
- Taylor Swift
- The Weeknd
- Bad Bunny
- BTS
- Lana Del Rey

*Wasanii walioliteka mtandano hapa namaanisha kuwa wasanii ambao mara kwa mara wamekua wakitumwa (Shared) kwenda mitandao ya kijamii kupitia Spotify moja kwa moja
Chanzo: Spotify
Ningependa kusikia kutoka kwako, je unakubaliana na orodha hii? Niandikie hapo chini katika eneo la comment? Na je ushawahi kutumia mtadnao wa Spotify? Niambie uzoefu wako na mtandao huo
Kumbuka Kutembelea Mtandao Wako Wa TeknoKona Kila Siku, Kwani Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!.
Nifuate Kwenye Mitandao Yangu Ya Kijamii
Instagram | Facebook | Twitter | LinkedIn
No Comment! Be the first one.