Kwa Nini Apple Wameshindwa Kufanikisha Mradi Wao wa Kutengeneza Magari?
Apple ni jina kubwa linapokuja suala la teknolojia – kutoka kwa iPhone, MacBook...
Mark Zuckerberg Asema Apple Imeishiwa Ubunifu na Kuendesha Mfumo Unaozuia Ushindani.
Mark Zuckerberg, Mkurugenzi Mtendaji wa Meta, amekosoa vikali Apple, akidai...
Apple Kurekebisha Teknolojia ya AI Baada ya Malalamiko ya BBC.
Apple imeamua kuboresha teknolojia yake ya akili mnemba (AI), inayojulikana...
Apple italipa dola milioni 95 kutatua kesi ya madai kwamba Siri alikiuka faragha ya watumiaji kwa kurekodi mazungumzo binafsi bila ruhusa.
Apple imekubali kulipa fidia ya dola milioni 95 kutatua kesi ya kisheria...
Apple iMac G3: Uzuri na Urahisi Vilivyokutana na Kutupa Kazi ya sanaa.
Katika miaka ya 1990, kompyuta nyingi za nyumbani zilikuwa na mwonekano wa...
Google au Apple: Nani Amefanikiwa Zaidi Katika Akili Mnemba kwenye Simu za Mkononi?
Matumizi ya akili bandia (AI) kwenye simu za mkononi yamebadilisha jinsi...
DRC Yashtaki Apple: Madini Yanayotengeneza iPhone Yanalipiwa na Damu ya Wakongo
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imefungua mashtaka mazito dhidi ya...
Apple Watch Ultra Vs Samsung Galaxy Watch Ultra: Ipi Itakufaa na Kwa Nini?
Kuna bidhaa ambazo zina uwezo wa kubadilisha mtazamo wako kuhusu kile...
Vitu Vitano Vinayoifanya Android 15 Bora Kuliko iOS 18
Android 15 na iOS 18 zote ni mifumo ya kisasa yenye maboresho mengi, lakini...
Utundu wa Steve Jobs wa Apple na Steve Wozniak: Walivyodukua Mifumo ya Mawasiliano Wajifanya Viongozi wa Kidini na Kumpigia Papa Wakiwa Vijana
Utangulizi: Safari ya Vijana Wabunifu Kabla ya kuanzisha Apple, Steve...
iPhone 16 Pro Max vs. Galaxy S24 Ultra: Vita ya Wababe wa Teknolojia
Apple na Samsung wanazidi kupambana kwa kuzindua simu kali kila mwaka. Mwaka...
iPhone 16 na Pixel 9 Pro Marufuku kuuzwa Indonesia
Baada ya iPhone 16 na sasa simu ya Google Pixel 9 Pro nayo yapigwa marufuku...
Hizi Hapa Apple MacBook Pro na Mac Mini Mpya: Mabadiliko ya Kusisimua kwenye Ulimwengu wa Kompyuta 2024!
Apple imefanya mageuzi kwenye MacBook Pro na Mac Mini kwa mwaka huu, ikileta...
Apple Wameleta iMac Mpya Inayong’ara na Chipu ya M4 na Chaguo Kibao za Rangi!
Katika hatua nyingine ya kuendelea kuboresha bidhaa zao, Apple wametangaza iMac...
Apple Yaleta iPad Mini Mpya Yenye Nguvu ya Kipekee, Inayofanya Kazi kwa Kusidiwa na A.I ya Apple Intelligence
Apple imetangaza kuwasili kwa toleo jipya la iPad Mini, lenye nguvu zaidi na...
Historia ya iPhone: Safari ya Simu Iliyobadilisha Dunia
iPhone ni mojawapo ya bidhaa zinazotambulika zaidi duniani, na kuzinduliwa...
Mauzo ya iPhone 16 yapo chini ukilinganisha na ya iPhone 15 na mengine
Mauzo ya simu za iPhone 16 zilizozinduliwa hivi karibuni yameonesha kuwa ya...
Matukio Makuu ya Apple Glowtime Event 2024: Hivi Ndivyo Ilivyokuwa!
Katika tukio la kila mwaka la Apple Glowtime Event 2024, kampuni ya Apple...
Apple Yazindua iPhone 16 Pro na iPhone 16 Pro Max: Ina Nguvu, Inakuja na Chipu Mpya na Yenye Ufanisi Zaidi
Apple Intelligence, Kamera Bora Zaidi, Na Maisha Marefu ya Betri Katika...
Apple iPhone 16 na iPhone 16 Plus Zinakaribia kutoka: Je, Utazihitaji Kweli?
Apple iko mbioni kuzindua iPhone 16 na iPhone 16 Plus, simu zinazotarajiwa...