Kivinjari cha Comet AI – Kivinjari janja kinachokuja na Msaidizi wako wa AI (Akili Unde)
Kivinjari cha Comet AI ni kivinjari cha kisasa ambacho kinachanganya teknolojia...
Kwa Nini Matumizi ya Torrents Yamerudi kwa Kasi? – Changamoto Zinazokumba Sekta ya Streaming
Matumizi ya Torrents yamerudi kwa kasi. Katika miaka ya karibuni, huduma za...
Je, Google AI Inaweza Kuipiku OpenAI ChatGPT? Baada ya Maboresho Yake ya Vipengele vya AI Vinavyoonekana Bora.
Katika dunia ya sasa inayotawaliwa na teknolojia ya akili mnemba (AI), jina la...
WhatsApp Inapanga Kuleta Uwezo wa Kuongeza Link ya Instagram Kwenye Profile kwa Watumiaji wa iOS Kwanza
WhatsApp inatarajia kuongeza kipengele kipya ambacho kitawawezesha watumiaji wa...
Je, DeepSeek ya China Itafua Dafu Mbele ya Makampuni ya AI ya Marekani?
Kampuni ya Kichina, DeepSeek, imezua gumzo ulimwenguni baada ya kuzindua...
Baada ya TikTok, CapCut Kupigwa Stop Marekani, Instagram Yazindua “Edits”: App Mpya ya Kuhariri Video
Katika wakati ambapo dunia inashuhudia marufuku kali dhidi ya TikTok na CapCut...
VLC Yazindua Manukuu (Subtitles) ya Akili Mnemba (A.I) Baada ya Kufikia Upakuaji Bilioni 6.
Programu maarufu ya VLC Media Player imevunja rekodi mpya kwa kufikia upakuaji...
Apple italipa dola milioni 95 kutatua kesi ya madai kwamba Siri alikiuka faragha ya watumiaji kwa kurekodi mazungumzo binafsi bila ruhusa.
Apple imekubali kulipa fidia ya dola milioni 95 kutatua kesi ya kisheria...
Programu 5 Kwenye Simu Yako Ambazo Huenda Hutumii na Zinaweza Kupunguza Kasi ya Simu Yako (Kwa Watanzania)
Simu yako ina nafasi ya kuhifadhi programu nyingi, lakini je, unafahamu kuwa...
XMail: Jinsi Elon Musk Anavyopanga Kuiangusha Gmail Milele.
Jinsi Maoni ya Shabiki Kwenye X Yalivyochochea Wazo la XMail ya Elon Musk,...
Zangi Messenger App – App ya mawasiliano binafsi bila kubadilishana namba ya simu
Zangi Messenger App ni app ya mawasiliano yenye hadhi ya usiri na usalama wa...
Programu ya Microsoft Office 2024 yaanza kupatikana. #Windows #macOS
Programu ya Microsoft Office 2024 yaanza kupatikana kwa watumiaji wa programu...
YouTube Hype: Njia Mpya ya Kuwasaidia Wanaotengeneza Maudhui Wadogo Kukua
YouTube Hype ni kipengele kipya kinachokuja kwa watumiaji wa YouTube kwenye...
Usalama wa Barua Pepe – Jinsi ya Kulinda Barua Pepe Yako Dhidi ya Wadukuzi
Usalama wa Barua Pepe. Katika dunia ya sasa ya teknolojia, usalama wa mtandaoni...
Kukamatwa na Kuachiliwa kwa Pavel Durov wa Telegram: Uhuru wa Kujieleza Mtandaoni na Changamoto zake
Kukamatwa na kuachiliwa kwa Pavel Durov, Mkurugenzi Mtendaji wa Telegram,...
Zana za Uhariri za AI za Google Photos Sasa Bure kwa Android na iOS. #AkiliBandia
Kama wewe ni mtumiaji wa App ya Google Photos basi fahamu uwezo wa kuhariri...
Magemu: Fahamu Gemu la #Flow, Gemu Bora la Kuchangamsha Akili
Je, unatafuta mchezo mzuri wa kuchangamsha akili na kukuza ubunifu wako?...
Telegram: Hekalu la Usalama Mtandaoni Lililobadilika Kuwa Uwanja wa Wahalifu.
Katika zama hizi za kidijitali, Telegram huonekana kama ni alama ya usalama...
Marekani Kupiga Marufuku TikTok: Je, Hatma ya Mtandao Huu Maarufu Inaelekea Wapi?
Katika hatua ya kihistoria, Bunge la Marekani limepitisha muswada ambao unaweza...
TikTok inasemekana imejipanga kuzidisha ushindani na Instagram kwa kuja na Programu Mpya ya ‘TikTok Photos’
TikTok, mtandao maarufu wa video fupi, huenda ikajiingiza katika eneo la picha...