Antena za gari za kisasa – kwa nini kuna mabadiliko? #SharkFin 🚗📡
Katika ulimwengu wa magari ya kisasa, kuna mabadiliko mengi yanayoendelea kwa...
Magari ya Umeme ya China: Tishio Kubwa kwa Makampuni ya Magari ya Ulaya na Japan
Utawala wa Kichina Katika Sekta ya Magari ya Umeme Katika miaka ya hivi...
Cybertruck: Gari la Umeme la Tesla ya Elon Musk Linalovutia na Kuwachanganya Gen Z na Wasanii Duniani
Tesla Cybertruck si gari la kawaida ni mchanganyiko wa teknolojia, ubunifu, na...
Amazon na Hyundai Kuungana Kuuza Magari Mtandaoni
Amazon na Hyundai wametangaza ushirikiano wa kimkakati ambao utajumuisha uuzaji...
Tanzania inaongoza kwa uagizaji wa magari Japani kwa Afrika Mashariki na Kati
Tanzania inaongoza kwa sasa katika uagizaji wa magari yaliyotumika nchini...
Sony Na Honda Wanakuja Na Gari Lao La Umeme!
Sony na Honda kupitia katika ushirika wao wa toka mwaka 2022 kwa sasa wako...
Maendeleo ya kiteknolojia yaliyofanyika katika vyombo vya usafiri tangu kuanzishwa kwake
Vyombo vya usafiri tunavyotumia leo hii ni matokeo ya maendeleo ya kiteknolojia...
Tesla inauza Cyberquad ATV kwa ajili ya watoto
Kampuni ya Tesla inayohusika na utengenezaji wa magari ya umeme nchini marekani...
Tesla kupokea malipo kwa BitCoin, pia wawekeza zaidi ya $ Bilioni moja
Kampuni ya magari ya Tesla kupokea malipo ya magari kwa sarafu ya Bitcoin. Hii...
Gari la Steve Jobs halikuwaga linawekwa namba za usajili / ‘plate number’. #Fahamu
Je aliwezaje? Fahamu gari la Steve Jobs halikuwahi kuwekwa namba za...
Elon Musk: “Tulijaribu kuwauzia Apple kampuni nzima ya Tesla ila Tim Cook akazingua”
Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya magari yanayotumia mfumo wa umeme ya Tesla,...
Hyundai Elevate: Hyundai Waja na Gari Linalotembea Kama Roboti. #Teknolojia
Je umeshtuka baada ya kusoma kichwa cha habari hichi; Hyundai Waja na Gari...
Mabasi ya abiria bila ya dereva kuanza kazi 2022 nchini Singapore
Wakazi katika miji mitatu mipya nchini Singapore watakuwa wa kwanza kupanda...
Gari la Mitsubishi Outlander linaweza kudukuliwa kwa njia ya WiFi
Gari aina ya Mitsubishi Outlander linaweza kuzimwa na mdukuzi kupitia...
VW yajipanga kuhamia katika utengenezaji wa magari yanayotumia umeme
Utengenezaji wa magari yanayotumia nishati ya umeme ni teknolojia ambayo...
Matairi ya gari yasiyojazwa upepo yatengenezwa. #Teknolojia
Kampuni ya Japan ya kutengeneza matairi imesanifu tairi lisilohitaji kuingizwa...
Model 3: Magari ya Tesla ya bei nafuu yaanza kuzalishwa
Kampuni ya Tesla imeanza uzalishaji wa magari ya bei naafu ya umeme...
Ufaransa Kukataza Magari Ya ‘Petrol’ Na ‘Diesel’ Ifikapo 2040!
Ufaransa ni nchi kubwa sana na inajiweza katika mambo mengi kama vile kiuchumi....
Volvo Kuhamia Katika Kutengeneza Magari Ya Umeme!
Volvo ni kampuni kubwa sana duniani ambalo linajihusisha na utengenezaji na...
Tesla Mbioni Kuja Na Huduma Ya Ku’Stream Miziki!
Tesla ni kampuni kubwa sana inayojihusisha na kutengeneza magari ambao...