WhatsApp Hawataki Upitwe na Tukio Lolote Kwenye Kombe la Dunia 2026; Waja na Feature Maalum.
Dondoo Muhimu WhatsApp imezindua Football Central 2026, kitovu kipya cha Kombe...
Ulaya Yaiondoa Google Bungeni na Kuweka Qwant. Je, Vita ya Teknolojia Kati ya Ulaya na Marekani Inaendelea?
Dondoo Muhimu Za Makala Hii Bunge la Ulaya limechagua Qwant kuwa search engine...
Hackers Watumia Meta AI na Kupata Access ya Akaunti za Instagram za Watu. Nini Ufanye? Meta Wanasemaje?
Dondoo Muhimu Za Makala Hii Hackers waliripotiwa kutumia Meta AI support bot...
Malaysia Yapiga Marufuku Watoto Chini Ya Miaka 16 Kutumia Mitandao Ya Kijamii, Vipi Sisi Tutaweza?
Dondoo Muhimu Za Makala Hii Malaysia imeanza kuzuia watoto chini ya miaka 16...
China Yazuia Mpango Wa Meta Ya Mark Zuckerberg Kununua Manus AI; Yaongeza Masharti Ya Uwekezaji Nje.
Dondoo Muhimu Za Makala Hii China imeongeza masharti mapya ya uwekezaji wa nje...
Umechoka Kupigwa Puu? Haizi Hapa Zana 12 Za AI Bora Kabisa za Bure Ambazo Hazikusumbui.
Dondoo Muhimu ChatGPT na Claude za bure zinakusimamisha mapema — kuna mbadala...
Palantir: Kampuni Hatari Zaidi ya AI Duniani Ambayo Jeshi la Marekani Ilitumia Kushambulia Iran
Kumbuka kwa msomaji: Makala hii inazungumzia vita, vifo vya raia, na matumizi...
Instagram Yatikisa Dunia ya Social Media Tena: Hizi Ndizo Updates 6 Kubwa Zinazobadilisha Jinsi Tunavyotumia App Hiyo 2026.
Instagram unayoijua leo si ile ya jana. Na mabadiliko yanakuja kwa kasi kubwa...
Google Wanapunguza Storage Ya Gmail — Kwa Nini Na Unapaswa Kujali?
Dondoo za Muhimu Kwenye Makala Hii Google wanajaribu kupunguza storage ya bure...
Meta na Microsoft: Maelfu ya watu kibarua chaota nyasi kutokana na matumizi ya AI
Meta na Microsoft zimetangaza kupunguza jumla ya nafasi 23,000 kwa pamoja. Hii...
OpenAI Imeamua Kusitisha Teknolojia ya Video Sora AI, sababu ni nini?
Imekuwa ni wiki ya mshtuko katika ulimwengu wa teknolojia baada ya kampuni ya...
AI Yamfufua Val Kilmer: Mapinduzi ya Kidijitali Kwenye Filamu Mpya ya ‘As Deep as the Grave’
AI Yamfufua Val Kilmer. Takribani mwaka mmoja tangu kifo cha mwigizaji nguli wa...
Instagram, Facebook na WhatsApp Zajitosa Kwenye Subscriptions: Je, Nini Kitabadilika?
Dondoo Muhimu Meta inaanza kujaribu subscriptions za kulipia kwa Instagram,...
Siku China Ilipodukua Google: Hadithi ya Operesheni Aurora.
Dondoo za Muhimu. Shambulio la kihistoria: Operesheni Aurora lilikuwa shambulio...
“Are You Dead?”: App ya Kichina Inayoibua Mjadala Mpya Kuhusu Maisha ya Kuishi Peke Yako na Usalama wa Kidijitali
Katika zama ambazo teknolojia imeingia hadi kwenye hisia na mahusiano ya...
OpenAI Kujaribu Matangazo Ndani ya ChatGPT: Hatua Mpya ya Kuongeza Mapato, Je, Nini Kitabadilika?
MUHTASARI. ChatGPT kuanza kuonyesha matangazo kwa watumiaji wa Free na Go...
Je, AI Itauondoa Utawala wa Google Kwenye utafutaji Mtandaoni? Watalaamu wanasema google search nayo itabadilika kabisa na kutegemea ai zaidi
Kwa zaidi ya miongo miwili, Google imekuwa mlango mkuu wa kupata taarifa...
Udukuzi wa data za Pornhub Premium: Historia ya utafutaji na matumizi ya watumiaji yadhibitika kudukuliwa
Ripoti ya uwepo wa udukuzi wa data za Pornhub Premium imeibua mjadala mkubwa...
Mark Zuckerberg: Meta AI Glasses Sasa Zinaweza Kusikia, Kuona na Kucheza Muziki Kupitia Spotify.
Teknolojia mara nyingi hubadilika kimya kimya, lakini kuna nyakati ambapo...
Meta Imebadilisha Muonekano wa Facebook, Sasa Unafanania Instagram, Je Imepoteza Utambulisho Wake
Facebook inaingia mwaka mpya ikiwa na sura tofauti kabisa. Meta imeanza kuipa...