MacBook Neo: Laptop ya bei nafuu zaidi kutoka Apple
Kwa miaka mingi, kumiliki MacBook imekuwa ni ndoto ya gharama kubwa kwa wengi....
Wetware Computers – Kompyuta Zinazoundwa kwa Tishu Halisi za Binadamu Badala ya Chuma na Silikoni.
Kwa miongo kadhaa, tumekuwa tukiona silikoni (silicon) kama kilele cha uvumbuzi...
Google Wapo Kazini Kuunda Mfumo Mpya Unaoitwa Aluminium OS: Android Maalumu kwa Ajili ya Kompyuta.
Google wanaandaa mabadiliko makubwa sana katika dunia ya teknolojia. Kwa mara...
Laptop Bora zaidi, Kompyuta za Kipekee Kiwezo na Uimara Mwaka 2025
Teknolojia inabadilika kila mwaka. Sasa mwaka 2025 umetuletea aina mpya za...
Windows 11 Bila Akaunti? Microsoft Sasa Inasema Hapana
Windows 11 Bila Akaunti? Microsoft Sasa Inasema Hapana Kwa muda mrefu,...
Apple iMac G3: Uzuri na Urahisi Vilivyokutana na Kutupa Kazi ya sanaa.
Katika miaka ya 1990, kompyuta nyingi za nyumbani zilikuwa na mwonekano wa...
Apple Wameleta iMac Mpya Inayong’ara na Chipu ya M4 na Chaguo Kibao za Rangi!
Katika hatua nyingine ya kuendelea kuboresha bidhaa zao, Apple wametangaza iMac...
Philip Emeagwali: Genius wa Kiafrika Aliyechangia Innovation ya Kompyuta za Kisasa na Mtandao(Internet).
Philip Emeagwali ni mmoja wa wanasayansi wa teknolojia ambao michango yao...
Qualcomm Inataka Kununua Intel – Je, sekta ya chip za Kompyuta kubadilika?
Qualcomm Inataka Kununua Intel. Katika habari za hivi karibuni, Qualcomm,...
Njia Rahisi za Kufanya Kompyuta Yako Kufanya Kazi Kwa Uwepi na Haraka Zaidi(Windows).
Katika dunia ya sasa ya teknolojia, kompyuta yenye kasi ni muhimu sana kwa kazi...
Mpya: CD (Compact Disk) ya 200,000GB, Mabadiliko Makubwa Katika Teknolojia ya Uhifadhi Data
Huu unawezekana ukawa uvumbuzi mkubwa ambao utabadilisha jinsi tunavyohifadhi...
Laptops 5 Bora za Biashara za Bajeti ya Bei Chini ya TZS 1,000,000, Mwaka 2024.
Katika ulimwengu wa biashara, kuwa na laptop yenye uwezo mzuri ni jambo muhimu...
Matatizo ya Teknolojia yasimamisha shughuli Duniani kote: #Microsoft #CrowdStrike
Siku ya jana, Ijumaa ya tarehe 19 Julai, 2024 watumia wengi wa Microsoft...
Intel Na Asus Kushirikiana Katika Kutengeneza Kompyuta Ndogo (Mini PC)!
Intel ni moja kati ya kampuni kubwa sana ulimwenguni katika maswala ya...
Lenovo Waachana Kabisa Na Uzalishaji Wa Simu Mahususi Kwa Ajili Ya Magemu!
Lenovo ni moja kati ya kampuni la kiteknolojia linalofanya vizuri sana katika...
Jinsi ya kuweka subtitles (manukuu) kwenye filamu/movie kutumia programu ya vlc
Watu wengi tunatumia kompyuta kutazama filamu na sinema (movies) mbalimbali,...
Namna ya kujua kifurushi cha mtandao (Bundle) ulichotumia kwenye kompyuta yako.
Kujua kiasi cha kifurushi cha mtandao (internet data bundle) unachotumia ni...
Ijue StarLink intaneti ya Elon Musk
Starlink ni mtandao wa intaneti/internet unaosimamiwa na kampuni ya SpaceX...
Apple Na Mpango Wa Kuachia MacBook Air Yenye Kioo Kikubwa Mwezi Wa Nne!
Muda mwingi Apple imeripotiwa ikiwa ina mpango wa kutoa Macbook ambayo ina kioo...