Ni Zipi Simu Bora za Bei Nafuu 2026: Redmi, Samsung, Tecno, Infinix n.k katika Ushindani Mkubwa.
Siku hizi kupata simu nzuri kwa bajeti ndogo imekuwa rahisi kwa upande mmoja,...
Qualcomm inapanga kupandisha bei ya bidhaa zao mwisho wa majira ya joto
Qualcomm inapanga upandisha bei ya vipuri ambavyo inatengeneza kufikia mwisho...
Samsung Galaxy Fold 8, Z Flip 8 na Z Fold 8 Ultra zazinduliwa, sasa sio fununu tena
Samsung wamezindua Galaxy Fold 8, Z Flip, Galaxy Z Fold 8 Ultra. Simu hizi...
Inasadikiwa Sansung kuzindua Galaxy Fold 8 kwenye majira ya joto 2026
Inaamikika kuwa Samsung watazindua simu janja Galaxy Fold 8 kwenye tukio...
Galaxy S: Simu Iliyoibadilisha Samsung Milele na Kuifanya Android Kuweza Kushindana na iPhone
Dondoo Muhimu Galaxy S ya kwanza ilizinduliwa mwaka 2010 wakati Android ilikuwa...
Samsung Yasema Galaxy Z Fold8 Ultra na Galaxy Z Flip8 Zitabadilisha Mchezo wa Simu za Mkunjo.
Dondoo Muhimu za Makala Hii Samsung imethibitisha rasmi kuwepo kwa Galaxy Z...
Kama Hujui, Samsung Anamiliki JBL, Harman Kardon na Baadhi ya Brand Kubwa Zaidi za Vifaa vya Muziki Duniani.
Dondoo Muhimu Za Makala Hii Samsung si kampuni ya simu pekee; pia ni mmoja wa...
Samsung Inakabiliwa Na Mgomo Mkubwa Zaidi Katika Historia Yake — AI Inagawanya Wenyewe
Dondoo Muhimu • Wafanyakazi zaidi ya 45,000 wa Samsung wanatishia kuanza...
Samsung Yasitisha Uzalishaji wa Galaxy Z TriFold Baada ya Miezi Mitatu Tu!
Katika hali iliyowashtua wapenzi wengi wa teknolojia, kampuni ya Samsung...
Samsung Galaxy S26 Ultra: Skrini Mpya Inayoweza Kuficha Unachoona kwa Watu wa Pembeni.
Samsung inaonekana kuwa tayari kubadilisha kabisa dhana ya faragha kwenye simu...
Samsung Kuweka Programu Maarufu ya Google Photos Kwenye Televisheni Zake Kuanzia Mwaka 2026
Sekta ya teknolojia ya nyumbani inaendelea kubadilika kwa kasi, na dhana ya...
Samsung Yazindua Galaxy Z TriFold: Simu ya Kwanza Inayokunjika Mara Tatu, Kabla Hata ya iPhone Inayokunjika Mara Moja Kutoka.
Samsung imeibuka tena na uthubutu mkubwa, ikizidisha ushindani katika soko la...
Stargate: Ushirikiano wa OpenAI, Samsung na SK Telecom Kutengeneza Moyo wa Dunia ya AI.
Mwanzo wa Enzi Mpya ya Akili Mnemba Teknolojia ya Akili Mnemba (AI) imekuwa...
Samsung na Mapinduzi kwenye Simu za Mkunjo: Kuja na Galaxy Z TriFold, Simu Inayokunjika Mara Tatu Kuwa Tablet Kamili
Samsung inaibuka tena kama kinara wa teknolojia za foldables. Galaxy Z TriFold,...
Baada ya Onyo kwa Apple Kuhusu iPhone Zinatengenezwa Nje ya Marekani, Trump Sasa Anataka Ushuru wa Asilimia 25 Kutoka Samsung.
Rais wa Marekani, Donald Trump, ameweka wazi msimamo wake mkali kuhusu sera za...
Samsung Yakanusha Galaxy S25 Edge Kuiga iPhone 17 Air – Vita ya Simu Nyembamba
Samsung imezindua Galaxy S25 Edge — simu nyembamba zaidi kuwahi kutoka kwenye...
Samsung Galaxy S25, S25 Plus, na S25 Ultra Zimetoka: Ipi Itakufaa?
Samsung imeleta mfululizo wa simu mpya za Galaxy S25: S25, S25 Plus, na S25...
Nini cha Kutegemea Katika Tukio la Samsung Galaxy S25 Unpacked.
Mwaka mpya, teknolojia mpya! Samsung imepanga kufungua mwaka kwa kishindo...
Tetesi: Samsung Kuleta Galaxy S25 ‘Slim’ – Toleo Jembamba la Simu Zao Bora Mwaka 2025
Mwaka 2025 unakaribia, na tetesi zimeanza kuenea kuhusu toleo jipya la Samsung...