Kwa Nini Makampuni Makubwa Kama Amazon, Microsoft, Google na Meta Yanawekeza Katika Nishati ya Nyuklia?
Wakati dunia inapambana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi na mahitaji...
Kiburudisho cha mdomoni kupunguza maambukizi ya UVIKO-19
Kwa zaidi ya miaka miwili sasa dunia nzima imekuwa ikipambana na janja la...
R.I.P: John McAfee Yule Wa McAfee Anti Virus, Afariki Akiwa Jela!
Hii ni habari ya kusikitisha hasa kwa wana teknolojia wengi maana bwana John...
Mishahara Minono Huawei: Huawei inavutia wafanyakazi kwa ahadi nono
Tangazo la kazi na ahadi ya mishahara minono limetolewa na Huawei. Kama upo...
Pepsi wana mpango wa kuja na matangazo ya angani!
Makampuni makubwa hayawezi kuacha kutangaza bidhaa zake, lakini pia mara zote...
NASA: Mwanamke ndio kuwa mtu wa kwanza kutua Mars (Mihiri)
Kiongozi wa juu katika taasisi inayojihusisha na utafiti wa masuala ya anga...
Wanasayansi nchini Italia njiani kuleta chanjo ya UKIMWI
Baada ya utafiti wa muda mrefu matokeo ya majaribio ya wanasayansi nchini...
Mayai yanayotibu ugonjwa wa saratani
Wanasayansi nchini Scotland wamefanikiwa kukuza kuku wenye uwezo wa kutaga...
Miaka 25 ijayo huenda mwanadamu akatua Sayari ya Mars
Shirika la Utafiti anga za juu la Marekani (NASA) limesema linaamini miaka 25...
Aliyepooza anaweza akatembea tena
Sijui lini nitaacha kusema kuwa teknolojia huwa inaangazia aliye mlemavu na...
Uchina kutengeneza Mwezi bandia
Mambo ya sayansi na teknolojia yanaendelea kukua na katika dunia ya leo Uchina...
Uhai wa tafiti za kisayansi nchini Uingereza
Tulio wengi tunafahamu matokeo ya kura ya Uingereza kujitoa/kubakia umoja wa...
Kifaa cha kupima malaria bila ya damu chaundwa nchini Uganda
Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 24, Brian Gitta, raia wa Uganda ameshinda...
Bios Cube: Majivu ya marehemu kutumika kukuza mmea
Kutana na Bios Cube! Chupa maalum ya kupandikizia mmea majivu ya marehemu na...
Kenya yafanikiwa kurusha saetelaiti yake ya kwanza
Nchi ya Kenya imeingia katika vitabu vya historia kwa kurusha Setilaiti yake ya...
Kenya kurusha Satelaiti yake ya kwanza angani
Ijumaa hii (Mei 11) saa 7 mchana Kenya inatarajiwa kurusha satelaiti yake ya...
Hoteli ya kwanza ya juu ya Anga kufunguliwa mwaka 2022
Kampuni ya Marekani ya Orion Span Inc ya imetangaza mpango wa kujenga hoteli ya...
Wanasayansi: Goli la Messi lina uwezo wa kutikisa jiji zima la Barcelona
Wanasayansi waliweka vifaa vya kupima tetemeko la ardhi katika uwanja wa Nou...
NASA yaipata STEREO B chombo kilichopotea mwaka 2014
NASA imefanikiwa kukipata chombo chake ambacho kilipotea miaka miwili iliyopita...
Taasisi ya Sayansi China yakuza mpunga mpya wenye urefu wa mita 2.2
Baada ya utafiti uliodumu kwa miaka 10, taasisi ya Sayansi ya kilimo nchini...