Microsoft Wataachana Na Kuuza Leseni Za Windows 10 Hivi Karibuni!
Hii ni habari mbaya kwa wapenzi wa Windows 10, Kwa haraka haraka ni kwamba...
Jinsi ya kuongeza kasi (speed) kwenye kompyuta yenye programu endeshi ya Windows 10
Mara nyingi kompyuta zetu zinakuwa taratibu (slow) kwenye ufanyaji kazi (...
Internet Explorer Kutolewa Kabisa Katika Windows 10!
Kivinjari cha internet explorer ndio cha kwanza kwa umaarufu katika vivinjari...
Majaribio ya magemu ya kwenye Android yafika ndani ya Windows
Magemu ya kwenye Android polepole yaanza kufanyiwa majaribio hivyo kufanya wale...
Jinsi Ya Kutoa Taarifa Za ‘Hali Ya Hewa Na Habari’ Katika Taskbar Ya Windows 10!
Microsoft mara kwa mara huwa wanaweka maboresho katika Windows zake, Maboresho...
Chrome kupunguza utumiaji wa RAM kwa Windows 10, Android na vifaa vingine
Google wamesema kivinjari chao cha Chrome kupunguza utumiaji wa RAM kwa kiasi...
Usitumie Windows 7 wala TeamViewer, ujumbe kutoka FBI. #Usalama #Udukuzi
Ushawahi tafuta sababu kwa nini usitumie Windows 7 kwenye kompyuta yako? Basi...
Jinsi ya kuweka/kuondoa mfumo wa tabiti kwenye Windows 10
Programu endeshi ambayo inashauriwa kutumika kwenye kompyuta katika miaka ya...
Windows 10 Updates bado ni Majanga; Kompyuta zinajizima na kujiwasha
Matatizo katika Windows 10 Updates bado yanaendelea kujitokeza. Katika toleo la...
Programu 6 Muhimu za Kuwa Nazo kwenye Kompyuta yako ya #Windows10.
Hizi ndio programu muhimu za kuwa nazo kwenye kompyuta/ laptop yako inayotumia...
Watumiaji wa Windows 10, Epuka sasisho jipya la Windows 10 2004
Tokea ujio wa Windows 10, tatizo kubwa limekuwa usalama wa masasisho yake...
Kulinda faili ndani ya Windows 7, 8 au 10
Ukiwa mtumiaji wa kompyuta na hasa kama shughuli zako ili kwenda vizuri na...
Unatumia Windows 7? Muda wa kwenda Windows 10 umefika.
Kama unatumia Windows 7 kwenye kompyuta yako basi muda wa kusasisha (upgrade)...
Windows 10 Itaingia Ktk Kompyuta Zenye Uwezo Huu!
Mara nyingi tumekutana na hili jambo ambapo watu wanaotuzunguka wanauliza kama...
Microsoft wazuia Sasisho kwenye baadhi ya kompyuta/laptop: Fahamu sababu
Microsoft wazuia sasisho (updates) kwenye baadhi ya kompyuta zinazotumia...
Windows 10 : Sasa chomoa kifaa cha USB Drive/Flash bila kufuata utaratibu
Microsoft katika toleo la kisasa la Window 10 (kuanzia toleo la Oktoba 2018)...
Windows 10 kula nafasi kubwa zaidi ya diski, kupakua masasisho yenyewe
Habari mbaya kwa watumiaji wa Windows wanaotumia diski zenye ukubwa mdogo,...
Mbwembwe zinazokuja kwenye Windows 10
Leo hii ukienda kununua kompyuta dukani kama haitakuwa imewekwa Windows 8 basi...
Windows 10 imefikisha watumiaji milioni 700
Kampuni ya Microsoft imetangaza kuwa kwa sasa kuna karibu kompyuta milioni 700...
Namna ya kuzima ‘Automatic update’ kwenye Windows 10
Kwa mujibu wa Microsoft ni kwamba toleo la Windows 10 litakuwa linapokea...