Mtandao wa Twitter ni moja kati ya mitandao ya kijamii mikubwa sana na yenye majina, hivi karibuni imefanya mabadiliko ya kimaandishi ndani ya mtandao huo.
Hii inamaanisha sasa utaona maandishi yamebadilika, na hili swala halitakiwi kukushangaza hata kidogo hii inafnayika kwa maandishi yote yaaani ndani ya mtandao mpaka ndani ya App yake.
Jumatano ya tarehe 11/08/2021 Mtandao Uli’post hivi
okay confirmed it did
— Twitter (@Twitter) August 11, 2021
Wakiwa kama wanatoa taarifa ya kubadilika huko kwa maandishi.
Kingine ni kwamba kuna mabadiliko mengine yamefanyika ila ni ngumu kuyaona mabadiliko mengine ni kwenye sehemu ya rangi n.k
Swala la rangi bado litaendelea kufanyiwa marekebisho ili kuhakikisha kunakua na ubluu mdogo zaidi na kusaidia picha na video zinazotumwa katika mtandao huo kuonekana vizuri zaidi.
Today we release updates for colors & typography! See @TwitterDesign post for full details. The A11Y updates are:
– Higher color contrast of buttons, links, focus
– Easier reading with left-aligned text & more space between text
– Fewer distracting gray thingsWhat do you think? pic.twitter.com/Umu3F1iJjb
— Twitter Accessibility (@TwitterA11y) August 11, 2021
Ningependa kusika kutoka kwako, niandikie hapo chini katika eneo la comment, hii umeipokeaje? je ni mawazo mazuri kutoka mtandoa huu au yalikua hayana maana sana?
Kumbuka Kutembelea Mtandao Wako Pendwa Wa TeknoKona Kila Siku Kwani Daima Tupo Nawe Katika Teknolojia!.
No Comment! Be the first one.