SAN FRANCISCO — Twitter inafunga ofisi dubai kuwafikia watu wa mashariki ya kati (middle east) kwa urahisi kabisa, katika harakati za kuongeza watumiaji katika dini hiyo (uislamu)
Kampuni ya Twitter ilitangaza hii habari kupitia tweet iliyotumwa katika mkutano wa ushwawishi wa mitandao ya kijamii (Arab Social Media Influencers Summit) huko mjini Dubai.
“Twitter is coming to Dubai”- akaunti inayotambulika na kuhakikiwa na Twitter Iliandika hivyo
Shailesh Rao, makamu wa raisi wa Twitter upande wa pasifiki ya asia, Amerika ya walatini na Masoko pia ali tweet hii habari
Nguvu kubwa itawekwa katika kuongeza mapato ya matangazo ndani ya eneo (Dubai) ambapo Twitter ina kama watumiaji milioni 6.
Twitter kama mitandao mingine ya kijamii kama vile Facebook, imevutiwa kwa kiasi kikubwa sana na mashariki ya kati (middle east).
No Comment! Be the first one.