Kwa sasa yamebakia kama masaa 48 hadi Ubuntu 11.10 ipate kuwa online kwa watu wote kudownload na kufanya upgrades kwa wale wanaotumia version zingine. Alhamisi ya tarehe 14 ndo siku ya kuzinduliwa kwake.
Je unaifahamu Ubuntu? Ushawahi kutumia? Je unahamu ya kuijaribu bila kuaribu Windows XP,Vista or 7.? Basi katika siku mbili zijazo nitaifanyia review yote kuanzia jinsi ya kuinstall.
Ubuntu ni moja ya programs zinazotengenezwa chini ya mfumo wa Linux, tofauti ya OS za Linux na nyingine kama Windows na Mac OS ni pamoja na kuwa na usalama kutoka mashambulizi ya virusi
na programs zingine zinazoweza leta matatizo kwa kompyuta yako. Linux OS huwa zinatolewa bure kwa matumizi yako yote, hii ni pamoja na softwares nyingine mbalimbali kwa kazi nyingi kama kusikiliza muziki, kutumia documents, kutumia intaneti na kuangalia videos.
Kwa mengi zaidi usikose kutembelea blog hii ya kipekee kwa teknolojia kwa lugha ya kiswahili.
[Tutakuwa tunajitahidi mara zote kutumia kiswahili kote panapowezekana.]
Mimi kama mdau wa Linux ambaye nimejaribu ubuntu 11.10 tayari(beta2), inapendeza kuona canonical wakichukua hatua ya kuweka gnome-shell(3.2) kwenye ppa zake.. angalau hiyo imenirudisha ubuntu… ni nzuri sana na inafanya inachosema.
Kweli mdau, watu wengi wanavutiwa na muonekano wa Gnome 3[Shell] kuliko wa Unity.. Mimi mmoja wapo!! Ushajaribu Fedora?
Yeah, nimetumia fedora sana… well, system yangu ina linux OS 6 as I am writing this, na zote zinashare same /home folder so sina wasiwasi if any goes wrong au nikitaka kubadilisha OS, since nianze kutumia Linux nimejaribu zaidi ya distro 30. wananiita ubuntu.
Safi sana comrade! Pamoja katika Open Source!
Nadhani gnome3 Shell imekaa vizuri zaidi kwa Fedora..
Apparently nilikuwa nafuatilia gnome-shell for so long, atleast ilipofika 3.0 had a decent look, ubaya ni kuwa ilikuwa immature on fedora 15 and unity on natty haikuwa option kwangu, rolling back to gnome2.x on pinguy was the best move, kidogo gnome3.2 looks more polished, and works better sana on ubuntu, watu hawapendi yum kwenye fedora, ubuntu inasupport kubwa zaidi ya fedora, so naamini kama wataendelea kutoa the option in future releases sina mashaka na future of ubuntu or else it will loose users to Arch linux
Good point comrade!
NImejaribu kutumia Fedora in z last 2 months, kwa kweli Yum ina ubaya wake lakini ina uzuri mwingi zaidi. Kwa statistics za sasa wengi waliokimbia ubuntu wamechagua fedora!!
Tatizo la ubuntu na fedora na nyingine nyingi zenye release cycle ya muda flani huwa sources zake zipo outdated.Nilikuja kuipenda arch linux sababu ni rolling release, it is the most updated linux distro around. mfano eclipse 3.7, blender 2.58, na packages nyingi tu.. ambazo zilikuwa updated between april na october hazikuwa updated kwenye software center wakati Arch inaupdate zote… ubuntu haiwezi kuupdate software center yake mpaka toleo jipya so mfano eclipse 3.8 ikitoka kesho hatutaipata kupitia software center mpaka mwakani 12.04 or else uicompile mwenyewe which si kila mtu anaweza, arch linux inaupdate sources zake zote each time an update occurs.. ndo maana naipenda….
This comment has been removed by a blog administrator.