Nina mpango wa kuandika makala fupi kuhusu ni mtandao gani uchague unapotaka kununua ‘modem’ kulingana na matumizi yako, ila kabla sijafanya hivyo ningependa kupata picha nzima kutoka kwenu wasomaji wetu,
Je wewe unatumia modem ya kampuni gani? Na kama ushawahi kutumia kampuni nyingine kwa nini umeachana nayo?
No Comment! Be the first one.