Kuna kipindi internet Explorer ndio ilikua kinara katika vivinjari vyote, kibaya ni kwamba kivinjari hichi kilianza kupoteza umaarufu wake nakuanza kudorora kabisa.
Pengine sababu inaweza ikawa ni kwamba kuna vivinjari vingi zaidi ambavyo kwa namna moja au nyingine vilikua bora zaidi, hali ambayo iliwafanya Microsoft kuja na kivinjari mbadala ya Microsoft Edge.
Katika Windows 10 Vivinjari vyote viwili (Edge na Internet Explorer) vipo ila kile ambacho kimepewa mamlaka ya kutumika sana ni kile cha Edge.
Hii ni kutokana na kwamba kuwa bora zaidi ukilinganisha na hicho cha zamani (Internet Explorer)
Soma Kuhusu Internet Explorer ——> Hapa <——-
Soma Kuhusu Microsoft Edge ——> Hapa <——-
Internet Explorer ilianzishwa Mwezi Oktoba mwaka 1997 na katika toleo la Windows 11 ndio kwa mara ya kwanza kivinjari hiki kitaanza kutoonekana kabisa
No Comment! Be the first one.